Ally Kamwe azungumzia hali ya Yanga Algeria, atamba na jezi mpya
Ally Kamwe azungumzia hali ya Yanga Algeria, atamba na jezi mpya

Msikie Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia hali ya kikosi cha timu hiyo kuelekea mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) dhidi ya CR Belouizdad. Kamwe pia ametamba na 'uzi' wao mpya watakaotumia kwenye michuano hiyo kwa hatua ya makundi. Kamwe amtaja mbunifu wao Sheria Ngoyi



MZEE WA UPUPU,MUSSA KAWAMBWA ANYOOSHA MAELEZO SIMBA KUMRUDISHA MIQUISONE/ ADOKEZA SAJILI YA BOBOSI.
MZEE WA UPUPU,MUSSA KAWAMBWA ANYOOSHA MAELEZO SIMBA KUMRUDISHA MIQUISONE/ ADOKEZA SAJILI YA BOBOSI.

MZEE WA UPUPU,MUSSA KAWAMBWA ANYOOSHA MAELEZO SIMBA KUMRUDISHA MIQUISONE/ ADOKEZA SAJILI YA BOBOSI. #mkaitv #simbasc #mussakawambwa





Popular Tags

#Best Champions League  #Goal Celebrations  #Best Goals Ever  #Zlatan Ibrahimovi  #Golden State Warriors  #Amazing Solo Goals  #Paul George  #Goalkeeper Saves  #Kobe Bryant  #Shaquille O'Neal  

Popular Users

#YouTube  #BeingSalmanKhan  #b_ryan9  #AdamSchefter  #DeAndre  #TheCUTCH22  #nytimes  #kobebryant  #JoelEmbiid  #cnnbrk  #TheNotoriousMMA  #neymarjr  #normmacdonald  #BizNasty2point0  #JayBilas