๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA,SHALULILE, GIRUMUGISHA,AZIZI KI NA HAWA
๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA,SHALULILE, GIRUMUGISHA,AZIZI KI NA HAWA

#Petershalulile #JeanGirumugisha #Azizki #Yangasc #Tetesizausajilimpya Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โšฝ Mechi: 26 ๐Ÿฅ… Magoli: 2 ๐ŸŽฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ŸŒ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Mechi: 9 โšฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro . 4.Azizi Ki amerejea tena Yanga Kwa mkataba wa Miaka 2 kutoka Al Ittihad ya libya 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo cosmas ya south Africa na aliwahi kufanya majaribio Dubai ni kinda aliyetikisa Zaidi na Serengeti Boys,msimu huu Kafunga goli 1 pekee dhidi ya Fountain Gate 9. Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 10. Morice Chukwu kiungo na mlinzi wa kati Kutokea Singida BS Tetesi wanaohusishwa kusajiliwa 1. Jean Girumugisha WINGA fundi na hatari Zaidi Barani Africa MVP wa Ligi ya Rwanda msimu uliopita alihusishwa kutambulishwa na mabwanyenye wa Libya Al Ahly Tripol lakini inaonekana Yanga wamemnasa ngoja tusubiri muda utafika inaelezwa hii itakuwa surprise package ya Yanga pale uhuru stadium kwenye Yanga Day 9.8.2026 2. Alphonce Mabula mtanzania anayekipiga huko Bahrain Azerbaijan 3. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Chadrack Boka 5. Bakari Mwamnyeto Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Chadrack Boka 4.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 5.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 6.๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 7.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 8.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua



๐Ÿ›‘LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA
๐Ÿ›‘LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA

#Simbasc #wachezajiwapyasimbasc #Ahmedally WACHEZAJI WAPYA WALIOSAJILIWA SIMBA MSIMU HUU 2026/2027 Waliosajiliwa 1. Kaletso Makgalwa Winga kutoka Shekukune 2.Serge Badjo kutoka Ivory Coast Mlinzi wa kati Sababu ni Rushine injury aliyopata fainal dhidi ya Azam CRDB imemfanya atachelewa kurejea uwanjani 3. Ibraheem Jabaar kiungo kutoka Stellenbosch alifanya kazi na Steve Berker 4. Nathaniel chilambo kutoka Azam FC ameshatambulishwa ndiye mrithi wa Kapombe Simba 5. Kelvin Nashon kutoka Singida BS ila alikuwa Kwa Mkopo Pamba Jiji 6.Bakari Msimu kutoka Coastal Union 7. Ismail Mgunda Mshambuliaji kutoka Mashujaa 8.Seleman Mwalimu imeshindikana kusajiliwa mazima kutoka wydad kutokana na wydad kutaka mpunga mrefu ila Simba wamekubaliwa kwenye Mkopo wa msimu mzima hivyo Seleman Mwalimu atasalia tena Simba Kwa Mkopo . Wanatazamwa kwenye kagame cup wakikidhi wanasajiliwa mazima 9. Ibrahim Doumbia Mshambuliaji raia Wa Mali, Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongeza miaka miwili baadae katika klabu ya Simba Sc ya Tanzania. Doumbia alikuwa mfungaji Bora wa Ligi ya Mali Msimu ulopita akiwa na mabao 17. Simba hawataki kucheza kamali ya kumpa mkataba wa muda mrefu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, wakihofia akifeli na gharama za kuvunja mkataba. Doumbia msimu uliopita:- ๐Ÿ† Mfungaji bora wa Msimu ๐Ÿ† Mchezaji bora wa Msimu ๐Ÿ† Mchezo bora chipukizi wa Msimu. ๐Ÿ† Alikuwepo kwenye kikosi Bora cha msimu. DEAL OFF Ramadhan Chobwedo Winga kutoka TRA United amefeli vipimo vya afya Simba Dili lake limekufa rasmi Mpaka sasa Simba Sports Club imeachana na wachezaji wengi kuelekea msimu ujao. Je ni nani hakustahili kupewa Gudubaiii hapa utaniambia kwenye uwanja wa Comment hapo chini. 1. Chamou Karaboue. 2. Naby Camara. 3. Edwin Balua. 4.Joshua Mutale. 5. Awesu Awesu. 6. Omari Omari. 7. Moussa Camara. 8. Mzamiru Yassin 9. Ladack Chasambi 10. Jonathan Sowah 11. Mohamed Bajaber 12. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji 13. Valentino Mashaka Mkopo JKT Tanzania



๐Ÿ›‘#LIVE:HAYA HAPA MAJEMBE MAPYA YA YANGA YAMSHUSHA FIGUREIDO,AZIZ KI,GUMEDE & WENGINE HAWA,WALIOACHWA
๐Ÿ›‘#LIVE:HAYA HAPA MAJEMBE MAPYA YA YANGA YAMSHUSHA FIGUREIDO,AZIZ KI,GUMEDE & WENGINE HAWA,WALIOACHWA

#Yangasc #Yangaleo #alikamwe #usajilimpyayanga #Enghersi Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โšฝ Mechi: 26 ๐Ÿฅ… Magoli: 2 ๐ŸŽฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ŸŒ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Mechi: 9 โšฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3.Nasri Kombo Kutoka TRA United 4.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 5.Azizi Ki 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Samba Kone Kutoka Muna FC ya Ivory Coast Mlinzi wa Kushoto 8.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate . Emmanuel Flomo ๐Ÿ”นKlabu ya wananchi Yanga imefikia makubaliano binafsi (personal terms) na winga hatari wa kulia wa Liberia na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan,Emmanuel Flomo (18). -Yanga wanajaribu utaratibu wa kuvunja mkataba wa mchezaji huyo katika klabu yake ya Al Hilal ya Sudan. -Flomo amefunga mabao 12 Msimu uliopita na kuibuka mchezaji chipukizi katika ligi ya Rwanda. Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy free agent 8. Farid Mussa free agent 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma 13. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 14. Bakari Mwamnyeto mchezaji huru mkataba imeisha amepunguziwa mshahara na anasubiriw asaini 15. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 4.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 5. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 6.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 7.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi



๐Ÿ”ด# LIVE: MASHUJAA FC (0) (2) YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA)
๐Ÿ”ด# LIVE: MASHUJAA FC (0) (2) YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA)

For business please contact us email: bahariatv.secure@gmail.com All rights rerved @BahariaTV 2026



Mashujaa 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 13/06/2026
Mashujaa 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 13/06/2026

#NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC ikiwa ugenini dhidi ya Mashujaa FC. Mechi imepigwa katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma. Magoli yamefungwa na Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto FT: Mashujaa 0-2 Yanga #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MashujaaVsYanga #Mashujaa #YangaSC #MSHYNG



GOLI LA KWANZA LA YANGA DHIDI YA  MASHUJAA.
GOLI LA KWANZA LA YANGA DHIDI YA MASHUJAA.

Mpira umeanzia kwa Djigui Diarra, ukaguswa na Prince Dube kisha Mudathir Yahya akaupokea kwa umahiri na kuujaza nyavuni. 41โ€™: Mashujaa 0-1 Yanga




Next »


Popular Tags

#Cristiano Ronaldo  #Tristan Thompson  #David Silva  #Best Goalkeeper Saves  #Philadelphia 76ers  #Shaquille O'Neal  #Shaquille O'Neal  #Russell Westbrook  #Mesut Ozil  #Neymar  

Popular Users

#darrenrovell  #RSherman_25  #floydmayweather  #TheCUTCH22  #IAmJericho  #JayBilas  #KevinHart4real  #justinbieber  #Cristiano  #SHAQ  #DwyaneWade  #CP3  #TheEllenShow  #tigerwoods