Mbeya Kwanza 0-1 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 17/05/2022
Goli pekee la George Mpole limeipa ushindi wa ugenini Geita Gold dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea.