Mtamgazaji namba moja katika mchezo wa Coastal Union na Simba Sc akielezea jinsi alivyouona mchezo huo nakutoa tahimini ya kikosi cha Simba na mchezo kwa ujumla. Pia ametanabaisha kwamba anafurahi sana kutangaza mechi zinazo chezwan katika uwanja wa Mkwakwani kwakua ni wa nyumbani kwao na ndipo alipoanzia kutangaza mpira kwa mara yake ya kwanza.
Simba SC imeitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...
Leo December 03/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea Katika Dimba la Mkwakwani Tanga ni Vita ya Watoto wa Mjini Coastal ...