TFF Watoa Tamko Kuhusu Kuhairisha Mechi ya SIMBA vs YANGA Baada ya SIMBA Kuzuiwa Kuingia Kwa MKAPA #simbasc #yangasc #kariakooderby #simbaleo #kikosichasimbaleo #simbasc #simba #coastalunion #kikosichayangaleo #yangasc #pambajiji #ligikuutanzania #magoliyoteleo #nbc #azamfc #ligikuu #tanzania #yanga #azamtv #trending #youtube #usajilisimba #usajiliyanga #tetesizausajili #dirishadogolausajili #dirishakubwalausajili #2023 #wachezajiwanaotemwasimba #wachezajiwanaotemwayanga #usajili #simba #magoli #chama #maxinzengeli #manara #alikamwe #ahmedally #gsm #moodewji #raissamia #samiasuluhu #caf #cafcc #cafcl #harmonize #diamondplatnumz #alikiba #wcb #wasafi #millardayo #wasafitv #music #football #news #sports #samatta #novatusdismas #ccm #chadema #zanzibar #africa #cecafa #live #ngaiyajamii #fifa #messi #ronaldo
Shabiki wa Yanga Aliyezongwa na Mashabiki wa Simba katika Mchezo wa Simba na Azam FC Benjamin Mkapa, Afunguka Mazito, Aeleza kila kitu, Atinga Polisi.
MZIZIMA DERBY | Ni sare ya 2-2 kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC, uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Azam wametangulia kwa goli la Gibril Sillah dakika ya 01, kabla ya Elie Mpanzu kusawazisha dakika ya 25 na Abdulrazak Hamza kuongeza la pili dakika ya 76. Nyota wa mchezo ni ‘Super Sub’, Zidane Sereri ndiye aliyeweka mambo sawa kwa kuifungia Azam FC bao la kusawazisha dakika ya 88, kwa assist ya aina yake kutoka kwa Feisal Salum Feitoto.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya AZAM Zakaria Thabit ameelezea mambo mbalimbali kuelekea Mechi yao na Simba SC 'MZIZIMA DABI' Jumatatu hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa
Clement Mzize mchezaji Maarufu wa Klabu ya Yanga Nchini Tanzania, alitua Mkoani Iringa Nyumbani Safari yake ya kusakata Kumbukumbu (Kucheza Mpira wa Miguu) ilipoanzia. Mzize alifika mpaka uwanja wa Samora uliopo katika Manispaa ya Iringa kushiriki mechi ya kirafiki kati ya Timu yake ya Zamani ya marafiki zake wa kijiwe cha Bodaboda inayoitwa Majembe FC dhidi ya Vyaboli FC. Katika michezo huo, Clement Mzize alifanikiwa Kufunga magoli mawili katika Dakika za kipindi cha Kwanza yaliyoifanya Timu yake ya Zamani ya Majembe FC kuimbuka na Ushindi wa Goli 4 - 2. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments. Clement Mzize Yanga | Mzize Yanga | Clement Mzize Interview | Clement Mzize Skills | Clement Mzize Goals | Mzize Dukani | Mzize Shop | Mzize Leo | Mzize Own Goal | Mzize Goal vs Tp Mazembe | Highlights | LiveSubscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. EXCLUSIVE: CLEMENT MZIZE AFUNGUKA NYUMA YA PAZIA BAADA YA KUHITAJIKA NA VILABU VINGI AFRIKA HIGHLIGHTS: YANGA 3 - 1 TP MAZEMBE| CLEMENT MZIZE NA AZIZ KI WALIVYOMALIZA SHUGHULI KWA MKAPA. MZIZE ASHINDWA KUJIZUIA BAADA YA KUKUTA NYOMI LA WATU DUKANI KWAKE HUYU MZIZE NOMA! ONA ALIVYODAKA PENALTI KAMA DIARRA | APIGIWA SALUTE NA BENCHI LA UFUNDI #FocusDigitoTV .................. Tufuatilie Zaidi kupitia: INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest. Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team FocusDigitoTV
JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.