Mbao FC 4x2 Lhefu SC ❗ Mbeya City 1x0 Geita Gold - Tanzania - Campo Virtual⚽
Mbao FC 4x2 Lhefu SC ❗ Mbeya City 1x0 Geita Gold - Tanzania - Campo Virtual⚽

Copa do Brasil / Libertadores e outros Torneios Brasileirão A e B , com e sem Narração várias Modalidades , Campo Virtual Ao vivo Inscrevam-se pra fortalecer o Canal , Obrigado 🙂



LIVE: MBAO (4-2, agg 4-4 ) IHEFU - UFM 107.3 DAR ES SALAAM - VPL PlayOffs; 01/08/2020
LIVE: MBAO (4-2, agg 4-4 ) IHEFU - UFM 107.3 DAR ES SALAAM - VPL PlayOffs; 01/08/2020

Huu ni mchezo wa mkondo wa pili wa mtoano kati ya Mbao FC ya jijini Mwanza dhidi ya Ihefu SC kutoka jijini Mbeya. Mchezo huu ulioamua Ihefu kupanda daraja huku Mbao FC wakishuka hadi Ligi daraja la kwanza. Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii; http://instagram.com/ufmradiotz http://twitter.com/ufmradiotz http://facebook.com/ufmradiotz #FDLUpdates #VPLUpdates #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #LigiKuuDarajaLaKwanza  Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Ihefu FC ilivyotanguliza mguu mmoja VPL kwa (2-0) dhidi ya Mbao FC - Highlights
Ihefu FC ilivyotanguliza mguu mmoja VPL kwa (2-0) dhidi ya Mbao FC - Highlights

Hivi ndivyo wana-Mbeya Ihefu FC walivyokamilisha hatua ya kwanza ya safari yao kuelekea #VodacomPremierLeague baada ya kuichapa Mbao FC wakiitumia vema uwanja wao wa nyumbani. Mchezo wa pili utapigwa Agosti mosi jijini Mwanza wakati Mbao ikiwa nyuma kwa magoli mawili watapaswa kurudisha ili wafufue matumaini ya safari ya kurudi #LigiKuuTanzaniaBara msimu ujao. #IhefuFC #MbaoFC #IhefuMbao #VPLPlayoffs #LigiDarajaLaKwanza #VPL Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Ihefu ilivyoanza vyema kampeni ya kupanda ligi kuu VPL kwa kuichapa (2-0) Mbao FC
Ihefu ilivyoanza vyema kampeni ya kupanda ligi kuu VPL kwa kuichapa (2-0) Mbao FC

Tazama magoli yote yaliyopatikana katika mchezo wa mkondo wa kwanza mtoano kati ya Ihefu dhidi ya Mbao FC uliochezwa katika dimba la Highland Estates, Mbarali mkoani Mbeya. #IhefuFC #VPLPlayoffs #TPL #MbaoFC #IhefuMbao Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mbao FC ilivyojinasua (2-0) dhidi ya Ndanda FC
Mbao FC ilivyojinasua (2-0) dhidi ya Ndanda FC

Shuhudia magoli yote ya Mbao FC dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa mwisho wa VPL msimu wa 2019/2020. #NdandaFC #MbaoFC #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VodacomPremierLeague azama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE: MTIBWA (1-1) YANGA, UFM 107.3 DAR ES SALAAM - 22/07/2020
LIVE: MTIBWA (1-1) YANGA, UFM 107.3 DAR ES SALAAM - 22/07/2020

Leo zinapigwa mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), kubwa ikiwa ni Mtibwa Sugar vs Yanga SC kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ahmed Ally yuko studio na wachambuzi James Samwel na Ally Kamwe kwa ajili ya uchambuzi kuelekea mechi hizo. Mechi nyingine ni Mbao vs Namungo, KMC vs Prisons, Mwadui vs Biashara, na Singida vs Kagera. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Golden State Warriors  #Football Skills  #Stephen Curry  #Lionel Messi  #Lionel Messi  #LeBron James  #Best Champions League  #Cleveland Cavaliers  #Football Defensive Skills  #LeBron James  

Popular Users

#Ky1eLong  #britneyspears  #rioferdy5  #AntDavis23  #LilTunechi  #rogerfederer  #richarddeitsch  #BeingSalmanKhan  #BarackObama  #TheNotoriousMMA  #criscyborg  #rolopez42  #wizkhalifa  #tigerwoods