Simba SC inaongoza kwa mabao mawili dhidi ya moja la wenyeji wao Mbao FC, mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL).