Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~--
Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~-- Baadhi ya mashabiki wametoa maoni yao kuhusu goli lililofungwa kwa Shuti Kali zaidi.. Miongoni mwa magoli yaliyoongelewa ni goli la Gadiel Michael dhidi ya Azam Fc, Emmanuel Martin na Papii Kabamba Tshishimbi dhidi ya Majimaji na goli la Said Ndemla dhidi ya Gendarmerie.
Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~-- Ligi kuu inaendelea hii leo ambapo Simba Sc watakua wageni wa Mwadui Fc katika uwanja wa Kambarage Shinyanga.
Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~-- SIMBA SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Gendarmarie Tnare jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya wazawa, kiungo Said Hamisi Ndemla, Nahodha na mshambuliaji John Raphael Bocco na mshasmbulaiji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi – wazi Simba itakuwa na kazi nyepesi kwenye mchezo wa marudiano wiki mbili zijazo Djibouti.. Shutikali ni tovuti ya habari za michezo na burudani, habari za wachezaji wa soka na timu zao Tanzania SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL :https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ/videos?view_as=subscriber SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL :https://www.youtube.com/channel/UC5fuHg4PI1GAn_U4S5cAOjQ/videos?view_as=subscriber
KAGERA SUGAR YALALA NA VIATU, YAPIGWA 2-0 NA RUVU SHOOTING Na Omary Mngindo, Mlandizi Pwani Tanzania- Feb 8 TIMU ya soka ya Ruvu Shooting ya Mlandizi Kibaha Pwani Tanzania Alhamisi ya Feb 8 imeendelea kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani baada ya kuilaza na "VIATU" Kagera Sugar ya mkoani Kagera kwa mabao 2-0. Mchezo huo uliokuwa mkali na kuvutia kwa muda wote, washindi walioutumia uwanja wa nyumbani, ilibidi wasubiri mpaka kipindi cha pili kujipatia mabao hayo yaliyofungwa na Mcha Khamis kwa njia ya penati, wakati bao la pili likiwekwa kambani na Alinanuswe Martin akimalizia krosi kutoka magharibi ya uwanja. Mpaka dakika 90 za mwamuzi wa mchezo huo, Shooting imejipatia ushindi wa pili mfululizo katika uwanja wake wa nyumbani baada ya kuibuka na idadi kama hiyo dhidi ya Mbao FC ya jijini Mwanza uliochezwa majuma hivi karibuni. MWISHO.R
Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~--
Mbao FC wameshindwa kutamba katika dimba lao la nyumbani la CCM Kirumba, Mwanza kwa kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Singida United.
Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~-- SIMBA SC imezidi kuwaacha mbali wapinzani katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hongera kwake mfungaji wa bao pekee la leo, mshambuliaji Mganda Emmanuel Arnold Okwi aliyefunga dakika ya 36 baada ya kutokea patashika kwenye lango la Azam FC kufuatia krosi ya beki Mghana, Asante Kwasi. Simba SC sasa inafikisha pointi 41 baada ya kucheza mechi 17, wakiwazidi kwa pointi saba, mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 34 katika nafasi ya pili na Azam FC wanabaki nafasi ya tatu kwa pointi zao 33. Dalili za Simba inayofundishwa na kocha Mfaransa, Pierre Lechantre anayesaidiwa na Mrundi, Masoud Juma kupata bao zilionekana mapema tu mchezo huo ulipoanza kutokana na mashambulizi yake mfululizo langoni mwa wapinzani. Azam FC walizidiwa katika safu ya kiungo na kujikuta wanawapa fursa Simba kutawala mchezo sehemu kubwa ya kipindi cha kwanza. Benchi la Ufundi la Azam chini ya Mromania, Aristica Cioaba ba mzalendo, Iddi Cheche liliona hilo na mapema kipindi cha pili wakamuingiza kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kwenda kuchukua nafasi ya mshambuliaji Iddi Kipagwile. Mabadiliko hayo yaliipa uhai Azam FC na kuanza kupeleka mashambulizi makali langoni mwa Simba, lakini kipa namba moja nchini, Aishi Manula alisimama imara kuokoa akisaidiwa na mabeki, Yussuph Mlipili na Erasto Nyoni. Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Shomary Kapombe, Erasto Nyoni, Yussuph Mlipili, Asante Kwasi, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Said Ndemla/Muzamil Yassin dk59, John Bocco, Emmanuel Okwi/Nicholaus Gyan dk84 na James Kotei. Azam FC; Razak Abalora, Daniel Amoah, Bruce Kangwa, Yakubu Mohammed, Aggrey Morris, Stephan Kingue, Iddi Kipagwile/Salum Abubakar ‘Sure Boy’ dk55, Frank Domayo, Mbaraka Yussuph, Yahya Zayed/Bernard Arthur dk71 na Enock Atta-Agyei.