Goli na kadi nyekundu | Mbeya City 0-1 Mashujaa FC | Play-Off 24/06/2023
Goli na kadi nyekundu | Mbeya City 0-1 Mashujaa FC | Play-Off 24/06/2023

Mashujaa FC ya Kigoma imepanda daraja kucheza ligi kuu ya NBC msimu ujao kwa kuichapa na kuishusha daraja Mbeya City ...

NDOTO YETU ITATIMIA kwa uwezo wake Mungu. ASILI YA SOKA NI KIGOMA, Ndio! Timu yetu ya Mashujaa Lake Tanganyika FC Leo inacheza mchezo muhimu katika kampeni yake ya kwenda Ligi Kuu ya Tanzania. Tunacheza na Mbeya City jijini Mbeya. Mchezo wa kwanza Mashujaa FC tulishinda 3-1.โ€ฆ

Ndugu zetu wa Yanga hongereni na mkutano wenu ila tunaomba walau ikifika muda mtuachie hili jambo.

Playoffs mkondo wa pili ni Mbeya City vs Mashujaa leo pale Sokoine. Poap Japile

Ndugu zetu wa Yanga hongereni na mkutano wenu ila tunaomba walau ikifika muda mtuachie hili jambo. Playoffs mkondo wa pili ni Mbeya City vs Mashujaa leo pale Sokoine. Poap Japile

KIGOMA LOADING TO NBC PREMIERE LEAGUE!!!

Chama la Nyumbani Mashujaa ushindi ni wetu Na mechi tunaitaka Mbeya city are you ready?

๐Ÿ’ช๐Ÿ˜‚

KIGOMA LOADING TO NBC PREMIERE LEAGUE!!! Chama la Nyumbani Mashujaa ushindi ni wetu Na mechi tunaitaka Mbeya city are you ready? ๐Ÿ’ช๐Ÿ˜‚

Timu za Mbeya City FC na Mashujaa FC, zitachuana vikali leo jioni saa 10:00 kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, katika mchezo wa mkondo wa pili wa mchujo, kuamua timu ipi kati yao itacheza ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/24.

#PLAYOFF: MBEYA CITY (0) VS (0) MASHUJAA FC | 107.3 UFM RADIO JUNE 24, 2023
#PLAYOFF: MBEYA CITY (0) VS (0) MASHUJAA FC | 107.3 UFM RADIO JUNE 24, 2023

Ungana nasi katika kuyang'amua yaliyojiri kwenye ulimwengu wa michezo. U LIVE ni kila siku kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Russell Westbrook  #Best Goals  #Gareth Bale  #Best Goals  #Mesut Ozil  #Anthony Davis  #Chicago Bulls  #Shot Goals  #Stephen Curry  #Best Ball Controls  

Popular Users

#geniebouchard  #AdamSchefter  #CP3  #BrunoMars  #BizNasty2point0  #RealSkipBayless  #kevinlove  #rogerfederer  #KDTrey5  #JohnCena  #RobbieSavage8  #si_vault  #Cristiano  #neymarjr