Mashujaa FC yaiteka jiji la Mbeya kuelekea mechi dhidi ya Mbeya City
Mashujaa FC yaiteka jiji la Mbeya kuelekea mechi dhidi ya Mbeya City

Tazama namna mashabiki wa Mashujaa FC walivyotua 'kibabe' ndani ya jiji la Mbeya kuelekea kwenye mchezo wao wa mkondo ...



Huku kiingilio bure kule bao laki 6 NYIE...NYIE Mbeya ni pamoto ๐Ÿ”ฅ

Mbeya City wanahitaji mabao 2 kwa masharti ya kuto kuruhusu bao wakati Mashujaa wanahitaji sare tu au hata kufungwa kwa utofauti wa bao 1 tu. 

Shuka ๐Ÿ‘‡

Huku kiingilio bure kule bao laki 6 NYIE...NYIE Mbeya ni pamoto ๐Ÿ”ฅ Mbeya City wanahitaji mabao 2 kwa masharti ya kuto kuruhusu bao wakati Mashujaa wanahitaji sare tu au hata kufungwa kwa utofauti wa bao 1 tu. Shuka ๐Ÿ‘‡



#Live_ MASHUJAA FC WALIVYOITEKA JIJI LA MBEYA
#Live_ MASHUJAA FC WALIVYOITEKA JIJI LA MBEYA

Mashabiki wa MASHUJAA FC alivyotimba katika Dimba kwenda kuwakabili MBEYA City.



Tunawatakia kila la heri Mashujaa Fc katika mchezo wa mkondo wa pili wa Playoff dhidi ya Mbeya City utakaochezwa katika Uwanja wa Sokoine - Mbeya.
@kigomaras @KigomaUjijiMC
#mapigonamwendo 

#mainfmtanzania #kigoma #tumekufikia

Tunawatakia kila la heri Mashujaa Fc katika mchezo wa mkondo wa pili wa Playoff dhidi ya Mbeya City utakaochezwa katika Uwanja wa Sokoine - Mbeya. @kigomaras @KigomaUjijiMC #mapigonamwendo #mainfmtanzania #kigoma #tumekufikia



... ๐Ÿšจ | Kila bao laki sita.

WakatiI mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akitangaza kiingilio bure katika mechi ya marudiano ya play-off kati ya Mbeya City na Mashujaa, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amejibu mapigo akitangaza Sh 600,000 kwa kila bao

... ๐Ÿšจ | Kila bao laki sita. WakatiI mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akitangaza kiingilio bure katika mechi ya marudiano ya play-off kati ya Mbeya City na Mashujaa, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amejibu mapigo akitangaza Sh 600,000 kwa kila bao



Karibu katika #ASUBUHIHII ya #TBCTAIFA ikiwa ni #MICHEZONABURUDANI leo 
-
Mchezaji yupi unadhani hakupaswa kupigwa "Thank You"

Mbeya City Vs Mashujaa nani kuibuka Mbabe 

-
Karibu sana

Karibu katika #ASUBUHIHII ya #TBCTAIFA ikiwa ni #MICHEZONABURUDANI leo - Mchezaji yupi unadhani hakupaswa kupigwa "Thank You" Mbeya City Vs Mashujaa nani kuibuka Mbabe - Karibu sana



Hizi hapa record za mashujaa fc, kuelekea mchezo wa mbeya city tarahe 24/6/2023.-Wamemaliza championship nafasi ya 4-katika michezo
28waliocheza ,wameshinda match 14, sare 7 ,wamepoteza michezo 7.
- wamekusanya point 49,nyumbani wamekusanya points 35, ugenini 14, magoli 37

Hizi hapa record za mashujaa fc, kuelekea mchezo wa mbeya city tarahe 24/6/2023.-Wamemaliza championship nafasi ya 4-katika michezo 28waliocheza ,wameshinda match 14, sare 7 ,wamepoteza michezo 7. - wamekusanya point 49,nyumbani wamekusanya points 35, ugenini 14, magoli 37




« Previous Next »


Popular Tags

#Allen Iverson  #Lionel Messi  #Los Angeles Lakers  #Counter Attack Goals Football  #Goal Celebrations  #Michael Jordan  #Anthony Davis  #Neymar  #Golden State Warriors  #Football Skills  

Popular Users

#billbarnwell  #wizkhalifa  #TheChristinaKim  #si_vault  #blakegriffin23  #UKCoachCalipari  #katzm  #MichelleDBeadle  #ladygaga  #BarackObama  #espn  #NASA  #richarddeitsch  #ArianaGrande