#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
gersonmsigwa #msemajimkuuwaserikali #afrikakusini #yanga #marumogallants #cafconfederationcup #uchambuzi #afrikakusini ...
RATIBA YA YANGA KESHO: “Wachezaji wa Young Africans watakuwa na tukio maalum” maneno ya Ofisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe akielezea yatakayojiri kesho kwenye mechi yao ya NBC Premier League dhidi ya Dodoma Jiji katika dimba la Azam Complex, Chamazi. Mechi itakuwa LIVE…
RUVU INAITAKA MECHI: “Tuko daraja moja na Simba” sehemu ya maneno ya kocha msaidizi wa Ruvu Shooting, Frank Msese akiwa pamoja na mchezaji wa timu hiyo Salum Kipaga wakizungumza kuelekea mechi yao ya kesho dhidi ya Simba SC. Mechi saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD…
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 https://chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5
Wachezaji waliocheza mchezo uliopita ni wachezaji halali wa Simba” maneno ya kocha msaidizi wa Simba SC, Juma Mgunda ...