Klabu ya Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Augsburg katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini. Mshambuliaji mpya wa Yanga Jean Baleke ameanza vyema baada ya kufunga bao la kufutia machozi kwa timu yake huku Mads Pedersen na Niklas Dorsch wakiifungia Augsburg. FT: FC Augsburg 2-1 Yanga. Video Credit @azamtvtz @fcaugsburg #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #augsburg #alahlysc #miraj #baleke #chama #aziziki
Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku alitolewa Uwanja wa Ndege kininja. Aziz KI, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumziko nchini kwao kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3. Alichofanya Azizi Ki, kwanza akamtanguliza mfanyakazi mmoja wa Uwanja wa Ndege kutangulia mbele na mabegi yake makubwa sita aliyotua nayo. Hatua ya pili ikawa Ofisa mmoja wa Yanga Godlisten Anderson 'Chicharito' aliyekuja kumpokea uwanjani hapo kumpenyezea kofia maarufu kwa jina la kepu, ambayo kiungo huyo ilipomfikia akatoka akiwa ameishusha kijanja mithili ya mtu asiyetaka kujulikana. Hatua ya tatu akatoka akiwa peke yake huku Ofisa huyo wa Yanga akitangulia mbele wakiachana kwa hatua sita na kiungo huyo kisha kupanda kwenye gari moja aina ya Toyota Alphard iliyotoka uwanjani hapo kwa kasi. Hatua ya nne mara baada ya kufika nje ya uwanja wa Ndege kiungo huyo akakuta gari nyingine aina ya Toyota Harrier ikimsubiri kisha kupanda humo huku ile Alphard ikiondoka na mabegi yake pekee. Ujio wa Azizi Ki ambaye ndiye mfungaji Bora wa Ligi msimu uliopita akimaliza na mabao 21 utawashusha presha mashabiki wa Yanga ambao wanadhani anaweza kuondoka. Yanga bado haijatangaza kwamba Azizi Ki ameongeza mkataba lakini Mwananchi linafahamu kwamba kiungo huyo raia wa Burkina Faso bado ataendelea kuitumikia timu hiyo kufuatia kukubaliana na mabosi wa timu hiyo kwamba atasalia. Pia, kupitia mitandao ya kijamii ya Yanga imetangaza kuwa staa huyo atazungumza mchana wa leo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2024/25, huku Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ahmed Ally amezungumza na wanahabari kuhusu sintofahamu ya usajili wa beki Lameck Lawi. Ahmed amesema sakata hilo litamalizwa na mabaraza ya kisheria ya soka lakini wao wanatambua kuwa ni mchezaji wao halali kwani pesa za usajili walitoa kwa mchezaji huyo pamoja na timu yake. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Shabiki wa Simba maarufu 'GB 64,' ametoa mtazamo wake kuhusu maboresho ya kikosi hicho katika kipindi hiki cha usajili, akidai kuwa anatamani kusikia mshambuliaji, Pa Omar Jobe akipewa mkono wa kwa heri kwani kiwango chake kinazidi kushuka na hana mchango tena ndani ya kikosi hicho msimu ujao 2024/25. Hata hivyo, anatamani kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI awe miongoni mwa mastaa wa Wekundu wa Msimbazi, huku akitamba tayari kiungo wao Clatous Chama, ameshasaini miaka miwili kuitumikia timu yao. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Baada ya beki wa kati, Abdallah Shaibu 'Ninja' kumalizana na Lubumbashi Sport ya DR Congo, ametaja mipango aliyonayo kwa msimu ujao, huku akisimulia kisa kupiga picha na Injinia Hersi Said. Ninja alijiunga na Lubumbashi Sports kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Yanga ameutumikia mmoja, kisha ameomba kuondoka akitoa sababu ni usalama mdogo wa maisha ya DR Congo. "Japo kuna timu tatu za DR Congo zinahitaji huduma yangu, labda nipewe pesa ndefu, hata nikikaa kwa shida familia yangu Tanzania iwe salama, nje na hapo zipo timu hapa nyumbani zinahitaji huduma yangu nitazipa nafasi, kwanza Ligi Kuu Bara ni maarufu na inafuatiliwa na nchi mbalimbali," amesema na kuongeza; "Wakati nafika mara ya kwanza, niliambiwa kutembea mwisho saa 3:00 usiku, kila mtaa unapita unakutana na askari, sasa kuna wakati mwingine unaweza ukatoka kutafuta chakula cha Kitanzania, saa 3:00 ikikukutia nje ya nyumba yako ni shida." Hata hivyo, Ninja amesema hatosahau kipigo alichopigwa na walinzi wakati akiingia uwanjani kwenda kukutana na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yanayofanyika kitaifa jijini Arusha pamoja na mambo mengine, yamenogeshwa na kikundi cha vijana, maarufu kama wadudu kupita na kutoa salamu kwa mgeni rasmi. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ni mgeni rasmi wa maadhimisho hayo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Cheza sasa kupitia https://shorturl.at/jqzU6 na ushinde Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj