Baba wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa, Nahum Kiluswa, ameiambia Mwananchi Digital kuwa kwa mara ya kwanza kijana wake alipata maradhi ya moyo akiwa safarini mwezi mmoja uliopita. Kiluswa amesema kuwa Novemba 16, 2024, marehemu alipozidiwa alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuwekwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. โHali yake ilikuwa mbaya, alikuwa akipumua kwa shida, huku presha yake ikiwa juu na haikushuka kwa muda mrefu". Ameongeza kuwa marehemu hakuwa na historia ya magonjwa hayo hata alipokuwa mtoto. Fredy Kiluswa, aliyezaliwa mwaka 1992, ameacha mke na watoto wawili. Mwili wake utaagwa Jumanne, Novemba 19, 2024, katika viwanja vya Leaders Club kisha kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa ugenini Septemba 15, 2024, itakuwa ngumu. Hata hivyo, amesema wamejipanga vyema ili kupata ushindi utakaowaweka katika nafasi nzuri kwa mechi ya marudiano. Pia amesisitiza, itakuwa aibu kubwa endapo timu hiyo itashindwa kufuzu makundi, na kwamba kauli mbiu ya 'Ubaya Ubwela' itawarudia kutokana na matarajio makubwa waliyojiwekea ya kufanikiwa 2024/25. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
MWALIMU wa mazoezi, Denzel Trainer, ambaye ametrend katika mitandao ya kijamii akiwapa mazoezi ya kibabe watu mbalimbali maarufu wakiwamo nyota wa soka kama Pacome Zouzoua wa Yanga, Mohammed Hussein โTshabalalaโ wa Simba na wengineo, amesema tizi analompa Clatous Chota Chama limechangia wepesi aliokouwa nao wakati akitoa yale maasisti manne na kufunga bao moja wakati Yanga ikiichakaza VitalโO ya Burundi 6-0 katika mechi ya marudiano ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Mchambuzi na Mtangazaji wa soka, Baraka Mpenja ametoa mtazamo wake kuhusu nusu fainali ya Ngao ya Jamii ya Dabi ya Kariakoo itakayopigwa kesho Agosti 8, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku akisisitiza dabi hiyo huwa haitabiriki, lakini anaona itaamuliwa na eneo la kiungo. Hata hivyo, Mpenja amesema wachezaji wapya watano au sita waliosajiliwa msimu huu na Simba wanaweza kuanza kikosi cha kwanza, lakini kwa upande wa Yanga haoni mabadiliko makubwa kwani kikosi kinaweza kuwa kile kile, huku akimpa Prince Dube nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza cha timu hiyo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj