Halima James Mdee na Ester Bulaya ambao ni wabunge wa viti maalum wameonyesha furaha yao baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mdee ameeleza kufurahishwa na kiwango bora cha wachezaji wa Yanga, akisisitiza umuhimu wa kuwapa moyo na kuwaunga mkono wakati huu mgumu, kwani itawasaidia kujituma zaidi kwenye mechi zijazo. Kwa upande wake, Bulaya ametamba kuwa Yanga ni timu yenye uwezo wa kupindua meza, akibainisha kuwa walikuwa na nafasi ya kufunga hata mabao matano katika mchezo huo uliochezwa leo Januari 4, 2025. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Beki Ibrahim Hamad Abdullah Bacca amefunga magoli mawili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. Magoli mengine kwenye mchezo huo yametoka kwa Prince Dube na Clement Mzize ambaye ndiye aliyefungua ukurasa wa mabao....
Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like...
Lionel Ateba amefunga magoli mawili na kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Tazama highlights....
Msanii wa Bongo Fleva, ambaye ni shabiki maarufu wa Simba SC, Tunda Man, ameonyesha kutoridhishwa na kiwango cha uchezaji wa timu yake licha ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya CS Sfaxien katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, mchezo uliopigwa leo Desemba 15, 2024, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Tunda Man amesema kuwa, ingawa amefurahishwa na matokeo, kiwango cha wachezaji kilikuwa chini ya matarajio yake. Ameongeza kuwa kocha mkuu anapaswa kufanya maboresho katika dirisha hili dogo la usajili. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Malengo ya goal Young Africans leo Yote Bao la kusawazisha la Young Africans leo Uchambuzi wa mabao ya TP Mazembe Je, bao la Teppe Mazembe linakubalika leo? Kesi za usuluhishi wa mechi kati ya TP Mazembe na Yanga Mwamuzi wa mechi kati ya highlights Yanga na TP Mazembe Sare ya Yanga leo
Azam FC imekula mweleka ikipokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tabora United mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Heritier Makambo amefunga goli la kwanza kwa tabora United na kusababisha goli la pili ambalo golikipa Mohamed Mustafa amejifunga...... Goli pekee la Azam FC limefungwa na beki Yoro Diaby.