MZUKA wa HAJI MANARA Baada ya KUCHUKUA KOMBE "TUNARUDI Kwenye LIGI, Tumecheza VIZURI" Mashindano hayo ambayo yameshirikisha timu tatu ambazo ni Simba wenyeji, Al Hilal na TP Mazembe yalianza Januari 27 ambapo Simba walianza kwenye mchezo wa ufunguzi kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Al Hilal. Al Hilal ilishinda mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe Januari 29 Uwanja wa Mkapa na kujikusanyia jumla ya pointi tatu huku Mazembe wakiwa na pointi mbili wakiwa nafasi ya tatu. Al Hilal ambao ni mabingwa wa pili pamoja na TP Mazembe wamepewa zawadi zao pamoja na medali Uwanja wa Mkapa. Pia kulikuwa na zawadi ya mchezaji bora ambayo imekwenda kwa Rarry Bwalya huku mfungaji bora akiwa ni Bernard Morrison mwenye mabao mawili. Luis Miquissone alikuwa mchezaji bora wa mchezo wa leo na kipa bora ametoka ndani ya Klabu ya Simba ambaye ni Beno Kakolanya akiwa amecheza mechi mbili na kufungwa bao moja. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
MOBETTO AZUNGUMZIA Alivyoanza KUISHABIKIA SIMBA na MAKOMBE Waliyochukua Mashindano hayo ambayo yameshirikisha timu tatu ambazo ni Simba wenyeji, Al Hilal na TP Mazembe yalianza Januari 27 ambapo Simba walianza kwenye mchezo wa ufunguzi kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Al Hilal. Al Hilal ilishinda mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe Januari 29 Uwanja wa Mkapa na kujikusanyia jumla ya pointi tatu huku Mazembe wakiwa na pointi mbili wakiwa nafasi ya tatu. Al Hilal ambao ni mabingwa wa pili pamoja na TP Mazembe wamepewa zawadi zao pamoja na medali Uwanja wa Mkapa. Pia kulikuwa na zawadi ya mchezaji bora ambayo imekwenda kwa Rarry Bwalya huku mfungaji bora akiwa ni Bernard Morrison mwenye mabao mawili. Luis Miquissone alikuwa mchezaji bora wa mchezo wa leo na kipa bora ametoka ndani ya Klabu ya Simba ambaye ni Beno Kakolanya akiwa amecheza mechi mbili na kufungwa bao moja. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
YANGA watangaza kikosi cha kwanza 2021:Baada ya usajili na mfumo mpya hii ni tishio tazama mwenyewe Video:uwezo wamchezaji mpya wa YANGA SC Mshambuliaji wakimataifa kutoka Burundi Abdoul Razak tazama Usajili:YANGA wamaliza kibabe adui wa magoli kipa FISTON ABDOUL RAZAK! Simba na CHIKWENDE uwezo wao? MORRISON ndo basi tena SIMBA makamu mwenyekiti wa YANGA aendelea kukaza bila kulegeza hali tete CAS Tamko zito TFF mkataba feki wa MORRISON Simba YANGA viongozi wapya waisuka kesi,Arudishwa kwa faini Usajili:STRAIKA Mghana aruhusiwa kuvaa jezi ya YANGA SC,wamwaga mamilion ya pesa Kunasa saini yake USAJILI:Mshambuliaji wa kimataifa raia wa GHANA atua YANGA SC watoa mamilion kumnasa STEPHEN SEY Mapokezi ya mshambuliaji mpya wakimataifa YANGA NTIBAZONKIZA kama mfalme tazama apewa majukumu haya Usajili:Yanga sc watetemesha jiji ujio wa MAKAMBO,Straika wa hat trick awekewa mamilion asaini yanga Kiungo wa kimataifa YANGA raia wa Angola CARLINHOS amfunika MORRISON wa Simba ukwelii wote huu hapa YANGA waandika ujumbe mzito kifo cha legend MARADONA mashabiki YANGA wamkumbusha MANARA "achaunafik" Kumekucha mashabiki wa YANGA wamshambulia MO DEWJ vijembe vyake "yanga mtapanda daladala"Simba kutua :Azam vs Yanga ni vita ya moto yamuibua MANARA afunguka hisia zake,mashabiki wamtuliza "SIO SIMBA"hi Washambuliaji YANGA MANARA awatumia vijembe live "mara ya mwisho utopolo ku,,zuchu na Diamond wali! Kocha mkuu YANGA SC "kaze akalia kuti kavu yanga"Aondoke GSM wakiamua,mapya yaibuka tatizo liko hapa Baada ya mechi zote ROUND 11 msimamo VPL! AZAM na YANGA jumatano,ligi imepamba moto tazama Baada ya mechi za leo MSIMAMO VPL! Yanga kuamua kesho kukaa namba moja? Azam kuambulia kichapo leo Breaking:Uongozi wa YANGA watoa tamko zito,TFF wasipo muadhibu MANARA!Tutamaliza wenyewe "amezidi" Kimenuka! aandika matusi bila uwoga "mnajitia wajuaji kumbe MAVI MATUPU"hii ni vita mpya,,wahusike? Usajili:Kiungo wakimataifa kutoka DRC CONGO MUKOKO TONOMBE mkataba wake YANGA "BIL 20 MEZANI"MO! Manara akiwa na CHAMA wakutwa Meza moja na wadhamini wa YANGA GSM utashangaa!!Mashabiki wataharuki! Uongozi wa YANGA kupitia Afisa habari Hassan Bumbuli watoa tamko zito kwa Simba! Mukoko na Kisinda? Usajili:CHAMA afunguka rasmi huwezi amini CEO Simba ashindwa kuvumilia! Herse Said wa GSM Yanga yaon Usajili:YANGA wanataka kombe,GSM wazama DRC Jean Mark MAKUSU Mshambuliaji,jangwani kumenoga nitishio USAJILI:YANGA waigusa pabaya Simba GSM wamwaga mamilion CHAMA yanga,ni utata BIL2 zatajwa,MAKAMBO! Mchezaji wa kimataifa YANGA Mukoko Tonombe apewa zawadi,uwezo wake usipime,MWAMNYETO ndo beki tishio YANGA na SIMBA kutoka droo MANARA afunguka mazito,Tuisila TK ni moto wakuotea mbalii,Refa kawabeba LIVE:YANGA SC VS SIMBA SC VPL Derby ya kariakoo,mashabiki Yanga Waujaza uwanja,MANARA ashtusha kuvua Afisa habari YANGA Hassan Bumbuli atoa onyo kwa SVEN,ni utoto, kisa CHAMA kuikosa Derby kwenda Yanga Derby yawaka moto kikosi cha YANGA SC ni balaa SIMBA mmekwisha,KAZE atamba bila uwoga,watani wajadi YANGA yasogezwa nyuma kidogo na AZAM wapania kesho kuitungua SIMBA msimamo hadi sasa VPL Derby moto Msimamo wa ligi baada ya mechi zaleo 25 october 20/21 YANGA waendelea kuiwinda AZAM watikisa Kirumba Afisa habari YANGA SC HBumbuli afichua siri nzito,walivo wajinga na mazuzu wamekesha kupanga"Simba" YANGA SC watajwa kuhusika na sakata hili,MANARA aweka video zote wazi,MORRISON amjibu kisomi tazama "MANARA"ingekuwa YANGA TFF na Bodi ya Ligi Ingekuwaje?FC malalamiko refa wenu katuchezesha,vita mpya Mashabiki wa YANGA warusha kombola kwa SIMBA"Magereza hakuna biriani"Msimamo VPL baada ya mechi jana #YangaSc #VPL #SimbaSc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #MichaelJackson #Rayvanny #DiamondPlatnumz #Harmonize #TanzaLiveTv #MiddleSimba #CloudsMedia #Ebitoke #Tanasha #EATV #ITV #TBC #SwahiliFlix #SwahiliMedia #SwahiliMovie #Swahilicomedy #KenyaComedy #Selina #MariaWaKitaa #ManenoYaKuambiwa #Kitale #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam
MZEE MUCHACHO AKAUKIWA SAUTI LEO, Simba SC IKIIUA FC PLATINUM 4-0 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba na FC Platinum umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa bao 4-0, mabao yaliyofungwa na Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, John Bocco na Clatous Chama. Kipindi cha pili kilianza kwa Simba kuendelea walipoishia kwani waliingia kwa kushambulia kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza na dakika ya 50, Luis Miquisone alipiga mkwaju wa faulo uliogonga mwamba wa juu baada ya kuangushwa na beki wa Platinum nje kidogo ya boksi la 18. FC Platinum nao walionekana kuchachamaa kwa kwani katikati ya dakika 50 hadi 55 waliweza kupata kona mbili ambazo hazikuleta madhara yeyote kwenye lango la Simba, pia dakika ya 57 mshambuliaji mmoja wa Platinum alikosa bao la wazi akiwa amebaki yeye na kipa na kupiga mpira uliotoka nje. Dakika ya 60 Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Said Ndemla na nafasi yake kuchukuliwa na Ibrahim Amme na dakika ya 61 Simba wakapata bao la pili kupitia kwa beki wao wa kulia Shomari Kapombe. Baada ya bao hilo la pili kwa Simba mchezo mchezo kwa ujumla ulifunguka na timu zote mbili kuanza kucheza kws kutafuta bao japo Plutinum walionekana kuliandama mara kwa mara goli la Simba. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
JEZI YA TUISILA KISINDA YAGEUKA KIVUTIO UWANJANI, AVAA JEZI YA TANZANIA YA STAILI YA PEKE YAKE... MCHEZAJI wa Yanga, Tuisila Kisinda, amejikuta akigeuka kivutio katika uwanja wa Mkapa jijini Dar, alipokwenda kucheki gemu ya Tanzania vs Tunisia... Tuisila amegeuka kivutio kutokana na jezi ya Tanzania aliyoivaa ambayo imeandikwa majina ya wachezaji wote wa Yanga walioitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania akiwemo Kipa, Metacha Mnata, Fei Toto, Ditram Nchimbi, Farid Mussa na wengine.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
KOCHA BIASHARA UTD AKUBALI KIPIGO CHA 4G VS SIMBA "NIMEPATIKANA" Huu ni mchezo wa kwanza kwa Biashara United kupoteza ndani ya msimu wa 2020/21 wakiwa ugenini. Licha ya kupoteza kipa namba moja wa Biashara United alitimiza majukumu yake ambapo aliokoa moja ya hatari matata ndani ya lango lake iliyopigwa na Luis. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
KIPA MBAO FC "DILUNGA Alikua Aninisumbua /SIMBA Timu Kubwa" SIMBA leo imebanwa mbavu mbele ya Klabu ya Mbao FC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, leo Julai 16. Mbao ilianza kuibuka kwenye lango la Simba dakika ya 5 baada ya kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim kutema mpira uliokutana na guu la Rajab Rashid dakika ya 5. Iliwabidi Simba wasubiri mpaka dakika ya 35 ambapo waliandika bao la kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wao namba moja Meddie Kagere kwa mkwaju wa penalti. Bao hilo halikudumu kwani Mbao iliongeza msumari wa pili dakika ya 45+2 kupitia kwa Wazir Jr na kuwafanya Simba waende mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1 huku Mbao ndio wakiwa wataalamu wa mchezo. Kipindi cha pili kiungo mshambuliaji wa Simba Miraji Athuman aliweka usawa dakika ya 52 ila bao hilo lilidumu dakika saba wakatunguliwa Simba bao jingine tena dakika ya 59. Jordan John dk 59 alìwanyanyua mashabiki wa Mbao FC na kuwafanya wasepe na pointi tatu mbele ya Simba wakiwatungua mabao mengi kwa msimu huu ambayo ni matatu. Licha ya ushindi huo Mbao FC wanabaki nafasi yao waliyokuwa kabla ya kucheza na Simba ya 19 wakiwa wamecheza mechi 35 kibindoni wana pointi 38 wanapambana kujinasua na hatari ya kushuka daraja. Simba pia wanaongeza idadi ya michezo ya kufungwa na kufikia minne kwa sasa wakiwa pia wamecheza mechi 35 na pointi zao 81 wakiwa tayari ni mabingwa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
ERASTO NYONI "MECHI YA YANGA Tulijipanga /Kila Mechi Ina Maandalizi Yake" SIMBA leo imebanwa mbavu mbele ya Klabu ya Mbao FC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, leo Julai 16. Mbao ilianza kuibuka kwenye lango la Simba dakika ya 5 baada ya kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim kutema mpira uliokutana na guu la Rajab Rashid dakika ya 5. Iliwabidi Simba wasubiri mpaka dakika ya 35 ambapo waliandika bao la kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wao namba moja Meddie Kagere kwa mkwaju wa penalti. Bao hilo halikudumu kwani Mbao iliongeza msumari wa pili dakika ya 45+2 kupitia kwa Wazir Jr na kuwafanya Simba waende mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1 huku Mbao ndio wakiwa wataalamu wa mchezo. Kipindi cha pili kiungo mshambuliaji wa Simba Miraji Athuman aliweka usawa dakika ya 52 ila bao hilo lilidumu dakika saba wakatunguliwa Simba bao jingine tena dakika ya 59. Jordan John dk 59 alìwanyanyua mashabiki wa Mbao FC na kuwafanya wasepe na pointi tatu mbele ya Simba wakiwatungua mabao mengi kwa msimu huu ambayo ni matatu. Licha ya ushindi huo Mbao FC wanabaki nafasi yao waliyokuwa kabla ya kucheza na Simba ya 19 wakiwa wamecheza mechi 35 kibindoni wana pointi 38 wanapambana kujinasua na hatari ya kushuka daraja. Simba pia wanaongeza idadi ya michezo ya kufungwa na kufikia minne kwa sasa wakiwa pia wamecheza mechi 35 na pointi zao 81 wakiwa tayari ni mabingwa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline