Content removal request!


JEZI YA TUISILA KISINDA YAGEUKA KIVUTIO UWANJANI, AVAA JEZI YA TANZANIA YA STAILI YA PEKE YAKE...

JEZI YA TUISILA KISINDA YAGEUKA KIVUTIO UWANJANI, AVAA JEZI YA TANZANIA YA STAILI YA PEKE YAKE... MCHEZAJI wa Yanga, Tuisila Kisinda, amejikuta akigeuka kivutio katika uwanja wa Mkapa jijini Dar, alipokwenda kucheki gemu ya Tanzania vs Tunisia... Tuisila amegeuka kivutio kutokana na jezi ya Tanzania aliyoivaa ambayo imeandikwa majina ya wachezaji wote wa Yanga walioitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania akiwemo Kipa, Metacha Mnata, Fei Toto, Ditram Nchimbi, Farid Mussa na wengine.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline