Sikiliza alichokisema Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz kuhusu makosa ya kimichezo yaliyofanywa na kipa namba moja wa klabu hiyo Metacha Mnata, kwenye mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting,
"SIMBA TUMEWAPA MAGOLI Sisi WENYEWE, TULIVUNJA GAME PLAN, TUTAJIPANGA UPYA" - KIPA NAMUNGO KLABU ya soka wa Simba leo Mei 29 imeshuka dimba katika dimba la Majaliwa kuvaana na klabu ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara... Kabla ya dakika 45 za kipindi cha kwanza kumalizika tayari Namungo wameshawakaribisha wageni wao simba kwa kichapo cha bao ( 1 - 0 ) lililowekwa kimiani na Steve Nzigamasabo.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kuondoka na alama 3 kwa kuwachapa Namungo kichapo Hevi cha mabao ( 3 - 1) yaliyowekwa kimiani na Chriss Mugalu, Jon Bocco na la mwisho amefunga Benard Morrison.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Mambo 10 nilioyaona Gwambina vs Simba 1: MNYAMA 🦁 ON TOP OF THE TABLE🙌 Kibabe. Kikatili Simba wameondoka na Pointi 3 ngumu ndani ya pitch kigumu kule Misungwi. MO aanze kuagiza masweta sasa.. Kileleni baridi 😀 2: Asante kocha wa Gwambina, Mohammed Badru👏 Asante Didier Gomes.. 👍 Licha ya changamoto ya pitch, makocha wametupa mechi nzuri kwenye mbinu. Kasi, nguvu na maarifa yalitawala kwa Dakika 90🙌 3: Gwambina walikuja na system ya 4-2-3-1, Kati wakianza na Holding wawili. Baraka Mtui na Kagoma walikuwa na utulivu na kasi ya kupokonya mpira huku Viungo watatu wa juu, Meshack, Jimmson na Rajab wakiwa wakiwapress vyema mabeki wa Simba ili kuwanyima nafasi ya kuanza shambulizi kwa kupiga 'Long Balls' 4: Didier Gomes aliswitch kutoka kwenye 4-2-3-1 na kuja na 4-1-3-2 akiwa na Plan ya kucheza kwa mipira mirefu, akiutoa mpira katikati ya kiwanja kukwepa changamoto ya pitch 5: Always.. Mechi ngumu kwenye mbinu huamuliwa na 'quality' za wachezaji kuamua mchezo. Hapa ndipo tofauti ilipokuja.. Quality ya Simba ikaidhibu Gwambina. Kivipi? 6: Rudi na ulitazame tena na tena bao la MOHAMMED HUSSEIN🙌 Moderm Football it's all about Space and Time. Ile First touch ya Tshabalala ni ya Thamani sana. Ndani ya sekunde chache mpira ukiwa angani, brain yake ikafikiri kwa haraka na kuamua.. WHAT A GOAL🙌 7: Gwambina imepoteza lakini Yule kipa wao Mohammed Makaka alikuwa kwenye kiwango bora sana 👍 Simba walicheza kwa malengo na Attempt zao zilikuwa ON TARGET.. Mikono ya Makaka ilikuwa kwenye ubora sana. 8: Onyango🙌 INATOSHA SASA KUMUELEZEA. Kile ni KITASA cha Guantanamo 🙌 Anacheza kwenye kila mdundo wa mpinzani. Ukiweka Reggea, mnaruka nae. Ukiweka singeli, mnalimwaga nae.. What A Player🙌 9: Lile tukio la Onyango linabaki kwenye maamuzi ya Line 1. Katika mstari aliosimama, yeye ndio mwenye nafasi ya kuona vyema muelekeo wa ule mpira ukiwa angani 10: Welld done Jimmson Mwanuke💪 Mchezaji mkubwa kwenye jezi ya timu ndogo. Anajua sana. WELL PLAY GUSTAVO. Na udogo wake vilevile, Alimstopisha Kisinda na leo kammeza Morrison.. Nb: Kwani Wananchi wenyewe Wanasemaje 😀
KIPA wa NAMUNGO Akiri HESABU za KUFUZU Zimepotea - "ni MARA Yetu ya KWANZA KUSHIRIKI" KIPA Namba moja wa Namungo FC amekiri kuwa baada ya matokeo ya mchezo wa leo dhidi ya Nkana FC hesabu zimepotea kwa kiasi kikubwa lakini hawajakata tamaa... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIPA wa Simba, Aishi Manula amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Manula alidondoka chini baada ya kuruka pamoja na mchezaji wa JKT Tanzania, kisha Erasto Nyoni alikimbia haraka kumuona na akawaita madaktari. Hata hivyo baada ya madaktari kumpa huduma ya kwanza Manula alionekana hali yake mbaya wachezaji wenzake wakaonyesha ishara ya kumfanyia mabadiliko. Badae akapakwizwa kwenye gari la wagonjwa na kupelekwa hospitalini. Beno Kakolanya akaingia kuchukua nafasi yake ili kumalizia dakika zilizobakia. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Yanga imepoteza mchezo wake wa kwanza ndani ya msimu huu baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya African Sports ya Tanga. Bao la dakika ya 75 la mshambuliaji Adam Uledi ndio lililowatibulia Yanga akiunasa mpira katikati ya mabeki wa Yanga kisha kwenda kumfunga kirahisi kipa Metacha Mnata aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Farouk Shikhalo. Hata hivyo Yanga itajilaumu yenyewe ikitawala mchezo mzima na kutengeneza nafasi nyingi lakini walishindwa kuweka mpira wavuni. Kipindi cha kwanza Yanga ilitengeneza nafasi za wazi kupitia winga Tuisila Kisinda ambapo bafasi yake ya 8 akipewa pasi na Paul Godfrey lakini shuti la Kisinda lilipaa juu kidogo Dakika ya 38 Sports walijaribu kufika vizuri lango la Yanga lakini nahodha wao James Mendy alishindwa kutulia na kufunga akipokea pasi safi ya Moka Shaban. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Mshambuliaji mpya YANGA azua balaa mazoezini, wenzake washangaa apewa jezi No7 kama CR7 speed zake VIDEO:Shabiki wa YANGA Akili 5000 azungumzia kombe la Simba (Simba Super Cup)aibua mapya,amtishia Zu VIDEO:Shabiki kindaki ndaki wa YANGA Akili 5000 ampa onyo live CEO wa Simba kisa SENZO tazama Video:YANGA walivo mpokea Mshambuliaji wakimataifa Fiston Abdoul Razack mtoboa nyavu kifalme jionee Mshambuliaji YANGA FISTON Afunguka mda huu "hawawezi nizuia kuondoka" WALLACE KARIA apitishwa FIFA YANGA watoa tamko zito! kwa MANARA misumari anayo endelea kupigilia maendeleo yao,wafichua mbinu zak Afisa habari YANGA HBumbuli Afunguka mazito "hii mipango yetu nisiri hatuiweki wazi "baada ya kikosi "Nime wachunguza yanga siku 30" Mshambuliaji wakimataifa kutoka Zimbabwe CHIKWENDE Afunguka mazito Breaking: YANGA SC wamtangaza kocha mpya huyu hapa na CV zake zote captain na mchezaji wao wa zamani Manara "Vilabu vikubwa vinaendelea na usajili" Simba sc washusha beki kisiki (master of defense) Leo Vilabu bora AFRICA 2021 hii hapa orodha ya Vilabu na ligi bora Africa (20) na Tanzania ipo tazama YANGA wamshambulia MANARA kazidi kuwatukana "wanaishi kwenye tope kule bondeni" wamuandikia mazito Uwezo wa Mshambuliaji mpya wa SIMBA raia wa Nigeria Junior LOKOSA ni tishio tazama hapa mwenyewe Simba sc ya mpambania CHIKWENDE CAF makubwa yaibuka tazama hapa Usajili:YANGA wamaliza kibabe adui wa magoli kipa FISTON ABDOUL RAZAK! Simba na CHIKWENDE uwezo wao? MORRISON ndo basi tena SIMBA makamu mwenyekiti wa YANGA aendelea kukaza bila kulegeza hali tete CAS Tamko zito TFF mkataba feki wa MORRISON Simba YANGA viongozi wapya waisuka kesi,Arudishwa kwa faini Usajili:STRAIKA Mghana aruhusiwa kuvaa jezi ya YANGA SC,wamwaga mamilion ya pesa Kunasa saini yake USAJILI:Mshambuliaji wa kimataifa raia wa GHANA atua YANGA SC watoa mamilion kumnasa STEPHEN SEY Mapokezi ya mshambuliaji mpya wakimataifa YANGA NTIBAZONKIZA kama mfalme tazama apewa majukumu haya Usajili:Yanga sc watetemesha jiji ujio wa MAKAMBO,Straika wa hat trick awekewa mamilion asaini yanga Kiungo wa kimataifa YANGA raia wa Angola CARLINHOS amfunika MORRISON wa Simba ukwelii wote huu hapa YANGA waandika ujumbe mzito kifo cha legend MARADONA mashabiki YANGA wamkumbusha MANARA "achaunafik" Kumekucha mashabiki wa YANGA wamshambulia MO DEWJ vijembe vyake "yanga mtapanda daladala"Simba kutua :Azam vs Yanga ni vita ya moto yamuibua MANARA afunguka hisia zake,mashabiki wamtuliza "SIO SIMBA"hi Washambuliaji YANGA MANARA awatumia vijembe live "mara ya mwisho utopolo ku,,zuchu na Diamond wali! Kocha mkuu YANGA SC "kaze akalia kuti kavu yanga"Aondoke GSM wakiamua,mapya yaibuka tatizo liko hapa Baada ya mechi zote ROUND 11 msimamo VPL! AZAM na YANGA jumatano,ligi imepamba moto tazama Baada ya mechi za leo MSIMAMO VPL! Yanga kuamua kesho kukaa namba moja? Azam kuambulia kichapo leo Breaking:Uongozi wa YANGA watoa tamko zito,TFF wasipo muadhibu MANARA!Tutamaliza wenyewe "amezidi" Kimenuka! aandika matusi bila uwoga "mnajitia wajuaji kumbe MAVI MATUPU"hii ni vita mpya,,wahusike? Usajili:Kiungo wakimataifa kutoka DRC CONGO MUKOKO TONOMBE mkataba wake YANGA "BIL 20 MEZANI"MO! Manara akiwa na CHAMA wakutwa Meza moja na wadhamini wa YANGA GSM utashangaa!!Mashabiki wataharuki! Uongozi wa YANGA kupitia Afisa habari Hassan Bumbuli watoa tamko zito kwa Simba! Mukoko na Kisinda? Usajili:CHAMA afunguka rasmi huwezi amini CEO Simba ashindwa kuvumilia! Herse Said wa GSM Yanga yaon Usajili:YANGA wanataka kombe,GSM wazama DRC Jean Mark MAKUSU Mshambuliaji,jangwani kumenoga nitishio USAJILI:YANGA waigusa pabaya Simba GSM wamwaga mamilion CHAMA yanga,ni utata BIL2 zatajwa,MAKAMBO! Mchezaji wa kimataifa YANGA Mukoko Tonombe apewa zawadi,uwezo wake usipime,MWAMNYETO ndo beki tishio YANGA na SIMBA kutoka droo MANARA afunguka mazito,Tuisila TK ni moto wakuotea mbalii,Refa kawabeba #YangaSc #VPL #SimbaSc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #MichaelJackson #Rayvanny #DiamondPlatnumz #Harmonize #TanzaLiveTv #MiddleSimba #CloudsMedia #Ebitoke #Tanasha #EATV #ITV #TBC #SwahiliFlix #SwahiliMedia #SwahiliMovie #Swahilicomedy #KenyaComedy #Selina #ManenoYaKuambiwa #Kitale #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam