Uchambuzi wa kina wa mchezo wa #simba shidi ya #tpmazembe ulioisha bila kufungana huku simba wakichezea nafasi nyingi za wazi ikiwemo pelnat aliyokosa kaptein wa team ya simba #johnbocco
DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Mbao zimekamilika uwanja wa Jamhuri, Morogoro, kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. John Bocco alianza kufunga bao la kuongoza kwa Simba dakika ya 24 akimalizia faulo iliyopigwa na Mohamed Hussein. Bocco alipachika bao la pili kwa Simba kwa mkwaju wa penalti baada ya mchezaji wa Mbao FC, Peter Mwangosi kunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin dakika ya 58. Meddie Kagere alipachika bao la tatu kwa Simba baada ya beki wa Mbao kumchezea rafu Kagere eneo la hatari na mwamuzi kutoa penalti iliyopigwa na Kagere dakika ya 79.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mwalimu Kashasha Achambua Goli la Chama Simba Vs AS Vita Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
SUBSCRIBE HAPA https://www.youtube.com/channel/UC_m6Lmu4NexLFzafJH5InYA?view_as=subscriber tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1