Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Umaarufu wa Mwalimu Kashasha umekuja kasi kutokana na utamaduni wake wa kupenda kuchambua mchezo wa soka kwa kutumia misemo yenye mvuto wa aina yake. #Sportpesa Cup2019 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Ni kuelekea mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Afrika AFCON nchini Cameroon mwakani, kati ya Lesotho dhidi ya Tanzania. Mchezo unapigwa leo Novemba 18, 2018 nchini humo. Hii ni sehemu ya mashabiki waliosafiri kutoka Tanzania akiwemo Kaimu Makamu wa Rais wa TFF Athuman Nyamlani, Aliyekuwa Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah bila kusahau Mwalimu Alex Kashasha.