Kauli ya kwanza ya Msemaji wa Yanga Haji Manara baada ya Simba SC kupoteza Uwanja wa Mkapa kwa goli 3-1 dhidi JWANENG Galaxy
#CAFCL #SimbaSC #ItsNotOver #KaziIendelee #IsNotOverKaziIendelee #CAFCL #CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC #JwanengGalaxy @simbasctanzania
Mabingwa wa Tanzania, Simba SC wametupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika #CAFCL baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Licha ya matokeo ya jumla kuwa 3-3, lakini Simba wanaondoka kwa faida ya goli la ugenini na Jwaneng wanaingia hatua ya makundi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#kissfmradio #simbasc #Simba SCJwanengGalaxyFC
#JwanengGalaxy#SimbaSC#CafChampionsLeague#MkapaStadium#SimbaSCVsJwanengGalaxy Simba SC Watolewa kibabe na Jwaneng Galaxy ( 1 - 3 )