#LIVE: Balaa zito laibuka ndani ya Simba | Kisa Jwaneng Galaxy | Uongozi wasema haya Mtandao wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5 Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz Channel Administered by Slide Digital.
Simba washindwa kuingia katika hatua ya makundi #CAFCL baada ya kuchakazwa bao 3 kwa 1 dhidi ya Jwaneng Galaxy kwenye dimba la mkapa leo. #Subscribe #EmTVNews #Erastomashauri
-"Kocha anamtaka John Bocco, anakosa magori Kagere Yuko nje mambo gani haya" SIMBA imeondoshwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu huu baada ya kuruhusu kufungwa bao 3-1 nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na Jwaneng Galaxy ya Botswana. Hiyo ni baada ya kuruhusukufungwa mabao matatu nyumbani na kufanya uwiano wa mabo kuwa 3-3 baada ya kushinda 2-0 ugenini hivyo wameondolewa kwa kanuni ya bao la ugenini . Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars