KARIAKOO DEEBY | Fahamu ukweli kuhusu matukio yote yaliyozua utata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba uliopigwa Septemba 16, 2025. Moja kati ya matukio yaliyozua gumzo ni goli pekee walilofunga Yanga na kuamua mshindi wa Ngao ya Jamii 2025. Osman Kazi na jopo lake wanamaliza utata kwa kutumia sheria na kanuni za soka
NGAO ya JAMII IPO PALE PALE SIMBA va YANGA , LIGI KUANZA KUTIMUA VUMBI SEPT 17... Karibu uendelee kufuatilia Kariakoo Media kwa habari za Kimichezo na Burudani za ukweli na Uhakika. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii facebook kama KARIAKOO MEDIA. Excited stories| sports & Entertainment updates The best content | chamber of News
“Simba waache kutafuta njia ya kuwakimbia Yanga,waje wacheze Ngao ya Jamii ili Ligi iendelee,tukianza ligi namna hii maana yake mbele kutakua na vipole vingi Fadlu alete timu matokeo watakayopata wayakubali tu,waache mpira wa kizamani ni ushamba huo” Ibrahim Ambokile 🗣️ Follow page yetu ya @almasdigitaltz ✍🏽 @jrmtungo Imedhaminiwa na @trustcars_motors na @premium_security_ltd #AlmasDigitalNews #AlmasDigitalUpdates
Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like...