“Simba waache kutafuta njia ya kuwakimbia Yanga,waje wacheze Ngao ya Jamii ili Ligi iendelee,tukianza ligi namna hii maana yake mbele kutakua na vipole vingi Fadlu alete timu matokeo watakayopata wayakubali tu,waache mpira wa kizamani ni ushamba huo” Ibrahim Ambokile 🗣️ Follow page yetu ya @almasdigitaltz ✍🏽 @jrmtungo Imedhaminiwa na @trustcars_motors na @premium_security_ltd #AlmasDigitalNews #AlmasDigitalUpdates