BETI NA PMBET UJISHINDIE TOYOTA HARRIER, NISSAN X-TRAIL NA IST KUPITIA LINK HII 👉 https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?ref_id=pmtv USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz
Magoli mawili ya Emmanuel Keyekeh na moja la Jonathan Sowah yameipa ushindi wa 3-1 Singida Black Stars dhidi ya Simba na kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank. Ni katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Dimba la Tanzanite Kwaraa, Babati Manyara ambapo Simba imepata goli lake la kufutia machozi kupitia kwa free-kick ya Jean Charles Ahoua. Kwa matokao haya, safari ya Simba imeishia hapa.... na Singida BS wanakwenda fainali kuwakabili Yanga...
Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb14gwqDuMRecwGCR90q Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg
🔴 #LIVE: MNYAMA AFA KIUME FAINALI / SIMBA WANAFUNGUKA YOTE / MADAI YA REFA (SPORTS ARENA 26/5/2025)
Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like... UFAFANUZI Kuna mahala Mzee wa Data ameteleza kwa kusema kuwa Pyramids wakitwaa ubingwa CAFCL wataongeza pointi 6 katika 42 walizo nazo sasa na kufikisha pointi 48. Usahihi ni kwamba wataongeza pointi 5 tu na kufikisha pointi 47 na siyo 48. Hivyo, Pyramids hawawezi kuiporomosha Simba kutoka nafasi ya 5 waliyopo sasa hata kama watatwaa ubingwa wa CAFCL kwa sababu Simba tayari wana pointi 48 il-hali (wao) Pyramids watatimiza pointi 47 tu endapo watatwaa ubingwa katika fainali yao dhidi ya Mamelodi. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
#simbasc #simbatanzania #simbatv #simbascfanstzaupdates #usajilimpyasimba #usajilileo #usajilisimbasc #usajiliyangasc #moodewji #ahmedyally #simbakimataifa #kombelashirikishoafrica #robofainali #Yanga #Yangasc #Yangatv #usajilimpyayanga #usajili #usajiliwayangasc #kinzumbi #Enghersi #yangaleo #Yangascmedia #yangaapp #Magoli #Azamtv #yanga #alikamwe#simbasc #simbatanzania #simbatv #simbascfanstzaupdates #usajilimpyasimba #usajilileo #usajilisimbasc #usajiliyangasc #moodewji #ahmedyally #simbakimataifa #kombelashirikishoafrica #robofainali #Yanga #Yangasc #Yangatv #usajilimpyayanga #usajili #usajiliwayangasc #kinzumbi #Enghersi #yangaleo #Yangascmedia #yangaapp #Magoli #Azamtv #yanga #alikamwe #maxnzengeli #maxzengelisimba #feitoto #feitotosimba #azamtv #kikosichayanga #kikosichasimba #ligikuu #millardayo #mpenjatv #rockmedia #winnermedia