Yanga SC imeitandika Dodoma Jiji mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo mei 15, 2022 kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamrfungwa na Dickson Ambundo dakika ya 13 na lingine la kujifunga kutoka kwa golikipa wa Dodoma Jiji, Mohamed Yusuph dakika ya 35. Katika mchezo huo pia Dodoma Jiji wamepata pigo kwa kiungo wao Hassan Nassor Maulid kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu kiungo wa Yanga, Yannick Bangala.
#polisitanzania #dodomajijifc #dodomajiji #hengetv #live
#dodomajiji #dodomajijifc #mbeyakwanza #hengetv
#millardayo #yanga #hajimanara #mpenjatv #wasafimedia #wasafimedia #sports #simba #htmnews #htmnews #diamondplatinumz #dodomajiji #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022
#millardayo #yanga #wasafimedia #hajimanara #mpenjatv #sports #simba #htmnews #diamondplatinumz #cloudsmedia #mayele #chama #dodomajiji #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022
#lindiyetutv #Dodomajiji MSEMAJI DODOMA JIJI: HATUKUWA NA BAHATI SIKU YA LEO | SIMBA WATALALA NA VIATU Thank you for being a family member, for Entertainment News, Politics and Sports, You can find the Lindiyetu Online App for Android from here: ► https://bit.ly/36AKCUO ------------------------------------------------------------------------------- Follow us on Social Networks: ------------------------------------------------------------------------------- ►Instagram: https://www.instagram.com/lindiyetu ►Facebook: https://web.facebook.com/lindiyetu ►Twitter: https://twitter.com/Lindiyetublog ►Website: www.lindiyetu.co.tz ------------------------------------------------------------------------------- #Simba #yanga #KageraSugar #Kiiza #NBCPremierLeague #manara #AmhmedAlly #Chama #Usajiliwachama #barbara #chamakurudisimba #MsheryYanga #Diarra #millardayo #bongostarsearch #MapokeziYaSimba #KombelaMapinduzi #AzamFc #PasiMillion #mayele #magoliyasimba #feitoto #Mkude #Sakho #Tepse #livestream #namungo #usajilisimba #denisnkane #HajiManara #allykamwe #usajilimpya #morison #vitukovyamorrison #uchambuzi #simbalive #mzeewautopolo #Sekeli #ihefu #magoliyoteyaleo #asfc #mechizaleo #makambo #onyango #jktTanzania #hajimanaraleo #mzaramowasimbaleo #mangunguleo #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #mackyanga #AzamSportsFederationCup #activemedia #azamtv #azamtwo #MasauBwire #modewji #Georgeambangile #huba #juakali #maishamagicbongo #kitasa #ndoano #bondita #kombolela #bekitatu #dstv #kulfi #sinemazetu ©2017 - 2022 Lindi Yetu TV, Fahari Yetu. All rights reserved.
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1