INASIKITISHA SAKATA LA MCHEZAJI KUKATWA MGUU/POLISI TANZANIA WASEMA KUHUSU KUMTELEKEZA MCHEZAJI WAO
INASIKITISHA SAKATA LA MCHEZAJI KUKATWA MGUU/POLISI TANZANIA WASEMA KUHUSU KUMTELEKEZA MCHEZAJI WAO

GERALD ANAHITAJI MSAADA. Kijana Gerard Mathias Mdamu anateseka kitandani pale MOI Nadhani huu sio wakati wa kulaumiana na kuanza kunyoosheana vidole kuonyesha nani anakosea na nani yuko sahihi Jeshi la Polisi linajitahidi kumsaidia Mdamu na familia kwa nafasi yake inamsaidia Mdamu. Timu zilizo chini ya taasisi za serikali, taratibu zake hasa katika suala la fedha huwa zina mlolongo mrefu lakini sio kwamba Polisi Tanzania haitaki kumhudumia Mdamu. Kwa wakati huu nadhani ni jambo jema tukasaidia kuokoa miguu ya Mdamu kisha baada ya hapo tukarudi katika kulaumiana. Tumsaidie kijana na Mtanzania mwenzetu kwa chochote kile ambacho tumejaliwa ili kunusuru asikatwe miguu. Hii inaweza kuwa sadaka ambayo inaweza kutusaidia leo hapa duniani na kesho mbele ya muumba Haya shime Watanzania wenzangu Tuma mchango wako kupitia kwa namba hii ya simu 0714716843. Jina ni BENEDICTOR MDAMU Kaka yake Mdamu. ✍️@charlesabel24. @KitengeUpdates.



LIVE: Yanga Yajazwa Mkwanja/Simba Noma/Aishi Nina Jambo Langu
LIVE: Yanga Yajazwa Mkwanja/Simba Noma/Aishi Nina Jambo Langu

#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #PowerBreakfast




« Previous Next »


Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Miami Heat  #Best Football Defending Skills  #New York Knicks  #Neymar  #Shot Goals  #Philadelphia 76ers  #Amazing Solo Goals  #Sergio Aguero  #Franck Ribery  

Popular Users

#CP3  #wizkhalifa  #kevinlove  #Joey7Barton  #JayBilas  #SteveNash  #TheCUTCH22  #GNev2  #JohnCena  #justinbieber  #DwyaneWade  #AntDavis23  #katzm  #Ky1eLong