Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura
Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.



McCain em chamas - Thunder 127 X 114 Spurs
McCain em chamas - Thunder 127 X 114 Spurs

O Oklahoma City Thunder est谩 a apenas uma vit贸ria das Finais da NBA! Em um Jogo 5 eletrizante na Paycom Center, o Thunder ...



BALAA JIPYA MJINI !!! YANGA IMEANZA NA HICHI CHUMA KUTOKA SUDANI...
BALAA JIPYA MJINI !!! YANGA IMEANZA NA HICHI CHUMA KUTOKA SUDANI...

#yangasc #yangatv #yangaleo #azamsports #mpenjatv #manaratv #mavalatv #ayomatv #scopemedia #spotikaonlinetv #Utvtanzania #battletv #Dafraonolinetv #kariakooderby #alikamwe #Maximumtv #M15tv #wasafi #wasafimedia #PmtvTanzania #Richmedia #CAFAwards #tetesizausajiliyanga #viralvideo #tetesizausajilisimba #mazoeziyayanga #yangatv #yangaleo #yanga #simba #simbaleo #simbatv #football #viralshorts #battletv #datasportstv #mbwaduke #yangascmedia #tanfootball #pecomezouzou #Wolfssportnews #Afcon2023 #tv3tanzania #millardayo #S500tv #uhondotv #mashwishwitv #diamonds #salamba



KIPYENGA Cha MWISHO, Osman Kazi Amaliza Utata PENALTI Na Goli La MPANZU, SIMBA Dhidi Ya DODOMA (1-0)
KIPYENGA Cha MWISHO, Osman Kazi Amaliza Utata PENALTI Na Goli La MPANZU, SIMBA Dhidi Ya DODOMA (1-0)

KIPYENGA Cha MWISHO, Osman Kazi Amaliza Utata PENALTI Na Goli La MPANZU, SIMBA Dhidi Ya DODOMA (1-0) #golilampanzuleo #golilasimbaleo #simbaleo #kikosichasimbaleo #dodomajiji #msimamowaligikuunbc #magoliyaleo #simbasc #yangasc #chama #simbasc #yangasc #2026 #yangasc #traunited #live #kikosichasimbaleo #kikosichasimba #simbasc #stademalien #cafcl #yangasc #kmcfc #simba #kikosichasimba #kikosichayanga #yangasc #simbasc #simbaday #yangaday #tetesizausajili #usajili #dirishakubwalausajili #usajilisimba #usajiliyanga #tetesizausajili #simbasc #yangasc #yanga #simbasc #dirishadogolausajili #dirishakubwalausajili #2023 #wachezajiwanaotemwasimba #wachezajiwanaotemwayanga #usajili #simba #magoli #chama #maxinzengeli #manara #alikamwe #ahmedally #gsm #moodewji #raissamia #samiasuluhu #caf #cafcc #cafcl #harmonize #diamondplatnumz #alikiba #wcb #wasafi #millardayo #wasafitv #music #football #news #sports #samatta #novatusdismas #ccm #chadema #zanzibar #africa #cecafa #live #ngaiyajamii #fifa




« Previous Next »


Popular Tags

#Shaquille O'Neal  #Lionel Messi  #Boston Celtics  #Best Goalkeeper Saves  #Mesut Ozil  #Kevin Durant  #Lionel Messi  #Football Defensive Skills  #Mesut Ozil  #Cristiano Ronaldo  

Popular Users

#ATLHawks  #katzm  #DanicaPatrick  #justinbieber  #RSherman_25  #blakegriffin23  #sportspickle  #ArianFoster  #SportsCenter  #LilTunechi  #MieshaTate  #SHAQ  #richarddeitsch  #BizNasty2point0