Mabingwa watetezi Simba SC leo wamelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Fuatilia uchambuzi wa mchezo huo kutoka kwa Ally Mayay na Dominick Salamba. Matokeo ya mechi nyingine za leo ni:- JKT Tanzania 0-2 Dodoma Jiji FC KMC FC 2-1 Tanzania Prisons Mtimbwa Sugar 1-1 Simba SC Mambo yote LIVE #AzamSportsHD & #AzamSports2 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Fainali ya Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2019/2020 imepigwa leo nakushuhudia Simba SC wakibeba taji lao la tatu msimu huu mbele ya Namungo FC wageni katika michuano hii. Taji hili linakuwa la pili kwa upande wa Simba na inakuwa klabu pekee iliyobeba #ASFC mara mbili. #AzamSportsHD na #AzamSports2 #AzamTVMax #AzamSportsFederationCup #ASFCUpdates #ASFCFinal2020 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) zimechezwa leo, kubwa ikiwa ni Coastal Union vs Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani, itakayokuwa mbashara #AzamSportsHD. Wachambuzi wetu Ally Kamwe na Michael Johnson wako na Patrick Nyembera baada michezo hiyo. Mechi nyingine za leo ni Alliance va Ndanda itakayokuwa mbashara #AzamSports2, Lipuli vs Ruvu, Polisi vs JKT na Azam vs Mbeya City saa 1:00 usiku. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Timu ya Wananchi, Yanga SC itakuwa Uwanja wa Taifa kuumana na Mwadui FC mchezo wa Ligi kuu tanzania bara kuanzia saa 1:00 usiku LIVE #AzamSportsHD. Sasa ni wakati wa uchambuzi na tahmini kuelekea mchezo huo ukiwa na Ahmed Ally, Ally Kamwe na Dominick Salamba. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
🔥HASIRA ZA SIMBA KUPIGWA NA YANGA ZAHAMISHIWA SINGIDA UNITED, YAICHAPA 8-0 KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 8-0 mble ya Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru. #AzamSportsHD #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #SimbaSC #SingidaUnited #SimbaSingida
MATOKEO MECHI ZA LEO #VPL MATOKEO: Mechi zote sita za leo ambapo Coastal Union imefanikiwa kuvunja rekodi ya Namungo FC ya kutopoteza mchezo nyumbani katika msimu huu wa ligi. FT: Yanga 3-2 JKT Tanzania (Sibomana 11’, Balinya 22’, Molinga 35’ : Adam 13’, Lyanga 45’+2) FT: Alliance 2-1 KMC (Geofrey Luseke 15’, David Richard 30’ : Geofrey Luseke 77’ OG) FT: Namungo 1-3 Coasta Union (Reliants Lusajo 16’ : Mtenje Albano 15’, Deogratius Anthony 76’, Paul Bukaba 90’+4 OG) FT: Kagera Sugar 2-1 Lipuli FC (Yusuph Mhilu 10’, Nassoro Kapama 64’ : Paul Nonga 85’) FT: Ndanda 0-2 Polisi Tanzania (Andrew Chamungu 11’, Idd Mobby 83’) FT: TZ Prisons 1-1 Mwadui FC (Samson Mbangula 83’ : Raphael Aroba 70’) #AzamSports2 #AzamSportsHD #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL
Kikosi Cha Simba Sc vs Coastal Union leo Penati ya Meddie Kahere iliyoipa Simba bao la kwanza. FT: Coastal Union 1-2 Simba SC. #TanzaniaPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #SisiNiSoka #AzamTVApp #Mkwakwani #SimbaSC #CoastalUnion #CoastalSimba #AzamSportsHD #officialcoastalunion_tanga #simbasctanzania #alwaatanngoda #jimmysteiger31
Azam Sports 2 iko LIVE muda huu kukuletea uchambuzi Leo kuna mechi mbili: Lipuli FC vs Simba SC LIVE #AzamSPorts2 Mtibwa Sugar vs Coastal Union LIVE #AzamSportsHD Mechi zote ni saa 10:00 jioni. Matangazo haya yako MBASHARA pia katika chaneli ya #AzamSports2 na AzamTVApp