KIKOSI CHA SIMBA KINACHOONDOKA LEO SAA 10:00 JIONI KUELEKEA DR CONGO KUWAFUATA AS VITA CLUB. 1.Aishi Manula 2.Beno Kakolanya 3.Ally Salum 4.Shomary Kapombe 5.Joash Onyango 6.Pascal Wawa 7.Ibrahim Ame 8.Erasto Nyoni 9.Peter Mduhwa 10.Kened Juma 11.Gadiel Michael 12.Mohamed Hussein 13.Taddeo Lwanga 14.Jonas Mkude 15.Rally Bwalya 16.Said Ndemla 17.Mzamiru Yassin 18.Luis Miquissone 19.Hassan Dilunga 20.Ibrahim Ajibu 21.Claotus Chama 22.Bernard Morrison 23.Fransis Kahata 24.Meddie Kagere 25.Miraji Athuman 26.Criss Mgalu 27.Junior Lokosa Simba SC watasafiri na wachezaji 27 huku captain John Bocco akiachwa Kutokana na majeraha aliyonayo.
Timu ya Msanii Alikiba leo imepata ushindi dhidi ya timu ya Nahodha wa taifa Stars, Mbwana Samatta katika mchezo wa hisani uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, huku Timu ya Samatta ikikosa penati mbili kupitia kwa Bernard Morrison. Magoli yamefungwa na Ibrahim Ajibu, Mudathir Yahya na Hassan Dilunga huku la kufutia machozi likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Mudathir Yahya. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1 #simbasc #polisitanzania #tff #ajib
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Sixtus Sabilo alianza kuifungia Polisi Tanzania kipindi cha kwanza kabla ya Simba SC kuzinduka kipindi cha pili kwa mabao ya Nahodha wake, mshambuliaji John Raphael Bocco na kiungo Ibrahim Ajibu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, leo wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Polisi wametangulia kufunga kupitia kwa Sixtus Sabilo kabla ya Simba kusawazisha kupitia kwa John Bocco na kisha dakika ya wisho Ibrahim Ajibu kufunga bao la ushindi. Bao la Bocco limezua utata wa off side, lakini Gift Macha analichambua na kkumaliza utata huo. Tazama Vodacom Premier League LIV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: http://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz