Content removal request!


Mabao ya Bocco na Ajibu yaibeba Simba 2-1 mbele ya Polisi Tanzania

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, leo wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Polisi wametangulia kufunga kupitia kwa Sixtus Sabilo kabla ya Simba kusawazisha kupitia kwa John Bocco na kisha dakika ya wisho Ibrahim Ajibu kufunga bao la ushindi. Bao la Bocco limezua utata wa off side, lakini Gift Macha analichambua na kkumaliza utata huo. Tazama Vodacom Premier League LIV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: http://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz