Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIPA wa Simba, Aishi Manula amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Manula alidondoka chini baada ya kuruka pamoja na mchezaji wa JKT Tanzania, kisha Erasto Nyoni alikimbia haraka kumuona na akawaita madaktari. Hata hivyo baada ya madaktari kumpa huduma ya kwanza Manula alionekana hali yake mbaya wachezaji wenzake wakaonyesha ishara ya kumfanyia mabadiliko. Badae akapakwizwa kwenye gari la wagonjwa na kupelekwa hospitalini. Beno Kakolanya akaingia kuchukua nafasi yake ili kumalizia dakika zilizobakia. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR Congo. Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita kwa mkwaju wa penalti uliowekwa wavuni na Chris Mugalu dakika ya 60 na kuipa uhakika wa alama tatu timu yake. Majaliwa ameyasema hayo wakati akiahirisha vikao vya Bunge jijini Dodoma na wabunge wakilipuka kwa furaha kushangilia. "Nawapongeza pia mabingwa wa soka Tanzania timu ya Simba SC kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi na jana kushinda mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya AS Vita nchini DR Congo," amesema Majaliwa Waziri Mkuu pia amempongeza Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kwa ubunifu wake wa kushirikisha Wizara ya Utalii na kuja na wazo la kuweka maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye jezi za Simba ambazo zinazotumika katika hatua ya makundi kutokana na kanuni za CAF kutoruhusu kampuni za kubeti kutumika kwenye jezi za klabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
#Simbasc#AzamFC#UwanjawaMkapa #LIVE SIMBA SC VS AZAM FC ( 1 - 0 )
MORRISON Avunja UKIMYA Kutochezeshwa SIMBA, Aitaja YANGA - "WAMECHEZA VIZURI" KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Simba baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila kufungana. Nyota wa mchezo huo ni Farouk Shikalo ambaye aliokoa penalti moja ya Joash Onyango na Meddie Kagere kugongengesha mwamba penalti yake moja. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline