WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA ALIKAMWE by @KidaniStars - Post Details

WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA ALIKAMWE

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR Congo. Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita kwa mkwaju wa penalti uliowekwa wavuni na Chris Mugalu dakika ya 60 na kuipa uhakika wa alama tatu timu yake. Majaliwa ameyasema hayo wakati akiahirisha vikao vya Bunge jijini Dodoma na wabunge wakilipuka kwa furaha kushangilia. "Nawapongeza pia mabingwa wa soka Tanzania timu ya Simba SC kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi na jana kushinda mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya AS Vita nchini DR Congo," amesema Majaliwa Waziri Mkuu pia amempongeza Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kwa ubunifu wake wa kushirikisha Wizara ya Utalii na kuja na wazo la kuweka maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye jezi za Simba ambazo zinazotumika katika hatua ya makundi kutokana na kanuni za CAF kutoruhusu kampuni za kubeti kutumika kwenye jezi za klabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Similar Posts!

UTASHANGAA!! ZOU WA YANGA AIBUA MAPYA KWA WACHEZAJI!
UTASHANGAA!! ZOU WA YANGA AIBUA MAPYA KWA WACHEZAJI!

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

ALICHOKISEMA SKUDU WA YANGA BAADA YA KUWAFUNGA KAIZER CHIEF
ALICHOKISEMA SKUDU WA YANGA BAADA YA KUWAFUNGA KAIZER CHIEF

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Mchezo wa kilele cha Wiki ya Mwananchi kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya vigogo ...

SIKIA TAMBO ZA RAGE WA SIMBA HOROYA KUPIGWA BAO 7, TUMETINGA ROBO FAINALI
SIKIA TAMBO ZA RAGE WA SIMBA HOROYA KUPIGWA BAO 7, TUMETINGA ROBO FAINALI

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...

MAZEMBE WAIGOMEA YANGA KUPANDA BASI PRIVADINHO AWAKA TUTAWAONYESHA UWANJANI
MAZEMBE WAIGOMEA YANGA KUPANDA BASI PRIVADINHO AWAKA TUTAWAONYESHA UWANJANI

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

RAJA CASABLANCA WATUA DAR KIBABE MECHI YA KIBABE DHIDI SIMBA
RAJA CASABLANCA WATUA DAR KIBABE MECHI YA KIBABE DHIDI SIMBA

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...

MANGUNGU KWA MARA YA KWANZA " HII NDIO SIMBA TUTABEBA UBINGWA"
MANGUNGU KWA MARA YA KWANZA " HII NDIO SIMBA TUTABEBA UBINGWA"

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika ...

SIKIA MAPOVU YA AHMED ALLY ATAMBA NA GOLI LA SAKHO "NDIO BORA MSIMU HUU"
SIKIA MAPOVU YA AHMED ALLY ATAMBA NA GOLI LA SAKHO "NDIO BORA MSIMU HUU"

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika ...