Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imeanza mapema utawala katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Septemba 26, 2019. Kikosi cha Kagera Sugar kilikuwa; Said Kipao, Mwaita Gereza, David Luhende, Hassan Isihaka, Erick Kyaruzi/Juma Nyoso dk46, Zawadi Mauya, Awesu Awesu, Ally Ramadhani, Evarigestus Mjwahuki, Abdallah Seseme na Yussuf Mhilu/Peter Mwalyanzi dk50. Simba SC; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Tairone Santos, Serge Wawa, Gerson Fraga ‘Viera’, Deo Kanda/Miraj Athuman dk62, Muzamil Yassin, Meddie Kagere/Wilker Da Silva dk87, Sharaf Eldin Shiboub na Ibrahim Ajibu/Hassan Dilunga dk71. Mechi nyingine ya Ligi Kuu, Lipuli FC wamelazimishwa sare ya 2-2 na Mbeya City Uwanja wa Samora mjini Iringa. Mabao ya Lipuli FC yamefungwa Issa Rashid dakika ya 15 na Paul Nonga dakika ya 77, wakati ya Mbeya City yamefungwa na George Chota dakika ya 47 na Ibrahim Mwakamole dakika ya 86. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, Simba SC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa mei 23, 2019. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manila, Zana Coulibaly, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Pascal Wawa, Jonas Mkude/Muzamil Yassin, Emmanuel Okwi, Clatous Chama, John Bocco na Haruna Niyonzima/Hassan Dilunga. Sevilla: Juan Soriano, Jesus Escudero, Simon Kuaer, Ever Banega, Quincy Promes, Roque Sema, Wissam Ben Yedder, Emmanuel Agudo Nolito na Franco Vazquez. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kocha wa Azam FC, Meja Abdul #Mingange amesema, kikosi chao cha #AzamFC hakijafikia malengo waliyokusudia labda wachukue ubingwa wa FA utakaowapa nafasi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na akaweka wazi kuwa suluhu yao na Simba imewapata walichotaka. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Amesema, malengo ya Azam FC yalikuwa ni kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu Bara au wamalize nafasi ya pili kwa sababu timu yao ni kubwa. "Katika msimu huu sisi hatujafanya vizuri kwa sababu tulitakiwa kuchukua ubingwa au nafasi ya pili lakini kama tutachukua ubingwa wa FA angalau tutakuwa tumefanya kitu,"alisema Mingange aliyechukua mikoba ya kuinoa Azam FC baada ya kutimuliwa Kocha Mholanzi Hans Pluijm. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars "Wenzetu Simba walikuwa wanatafuta ubingwa lakini sisi hatuko huko hivyo hatukutaka kujichosha ndiyo maana tulicheza kwa kuzuia ili tusifungwe hivyo tumepata tulichokitaka,"alisema Mingange. Hata hivyo, Mingange amesema mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na kusababisha Uwanja wa Uhuru ambao walichezea mechi kujaa maji uliwaathiri wao na wapinzani wao. Twitter: https://twitter.com/kidanistars Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Nicholas Gyan, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Yussuf Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei/John Bocco dk79, Haruna Niyonzima, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi na Clatous Chama. Azam FC; Razack Abalora, Nickolas Wadada, Bruce Kangwa, Yakubu Mohammed, Aggrey Morris, Stephan Kingue, Joseph Mahundi, Frank Domayo, Obrey Chirwa, Donald Ngoma na Ramadhan Singano/Daniel Lyanga dk53.
#goli #kagerasugar #tpl #michezo SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imeendeleza furaha kwa mashabiki wake baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya #MbaoFC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Ushindi huo uliotokana na mabao mawili ya Nahodha John Raphael Bocco na Mnyarwanda Meddie Kagere unaifanya Simba SC ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22, lakini inabaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 59 na Yanga SC pointi 67 baada ya wote kucheza mechi 28. Bocco, mmoja wa wachezaji waliokuwemo kwenye kikosi cha Tanzania kilichokata tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa uya Afrika mwaka huu nchini Misri wiki iliyopita, alifunga bao la kwanza kwa kichwa dakika ya 25 akimalizia krosi ya beki wa kushoto Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Tshabalala, Kocha Patrick Aussems Mbao Fc hatoki kwa Simba Sc Jamuhuri leo #Tshabalala #PatrickAussems #KochaPatrickAussems
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MAKOSA ya safu ya ulinzi ya Simba, jana yaliigharimu timu hiyo na kujikuta ikipigwa mabao 2-0 na JS Saoura nchini Algeria lakini wamesisitiza kwamba nguvu zote sasa ni kwa AS Vita Jumamosi. Simba sasa imeelekeza nguvu zote kwenye mechi ya AS Vita ili kucheza karata ya mwisho ya kutafuta nafasi ya kufuzu robo fainali. Hesabu zinaibeba Simba kwani ikishinda mchezo huo itafi kisha pointi tisa na kusonga mbele. Kwenye mechi ya jana safu ya ulinzi ya Simba chini ya Paschal Wawa, Mohammed Tshabalala na Paul Bukaba haikuwa na uelewano mzuri jambo ambalo liliwapa Saoura nguvu ya kushambulia. Mabao ya wenyeji yalifungwa na Yahya Sherrif kwa shuti la kiufundi huku la pili likipachikwa na Mohammed Amine kwa penalty. Amine alifanyiwa faulo na Bukaba ambaye kipindi cha kwanza nusura ajifunge alipokuwa akiokoa. Sasa Simba imeelekeza nguvu zake kwa mechi ya Jumamosi saa moja usiku kwenye Uwanja wa Taifa ambayo wamesisitiza kwamba hata kama Mwinyi Zahera wa Yanga atauza siri zao kwa Vita potelea mbali lakini ushindi lazima. Kocha wa Simba,Patrick Aussems amefunga ukurasa wa mchezo wa jana na kuanzia leo ni kazi moja tu huku mashabiki nao wakisisitiza kupambana. Zahera aliliambia Spoti Xtra kwamba; “Simba atamfunga Vita kwenye Uwanja wa Taifa na wanaweza kwenda robo fainali, lakini haiwezi kubeba ubingwa wa Afrika.” “Haina timu yenye uwezo huo. Lakini ni ukweli usiofi chika kwamba mimi Vita nitawapa mbinu za Simba kwavile wale ni rafi ki zangu na kocha wao ni bosi wangu kwenye timu ya Taifa. “Siwezi kuwafi cha, ila itakuwa ni mechi ngumu sana na nzuri,”alisema Zahera ambaye anadai kwamba Simba inamuombea mabaya kwenye Ligi Kuu na FA. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars