Highlights | Tanzania 0-1 Uganda (Women-U2O) | Friendly Match 9/12/2021
Highlights | Tanzania 0-1 Uganda (Women-U2O) | Friendly Match 9/12/2021

MIAKA 60 YA UHURU: Timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20 #TheTanzanite imekula mweleka siku ya uhuru kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa mabinti wa Uganda katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hili hapa goli la Khadija Nandonga



Goli la Uganda | Tanzania W-U20 vs Uganda W-U2O (0-1) | Mechi ya Kirafiki 9/12/2021
Goli la Uganda | Tanzania W-U20 vs Uganda W-U2O (0-1) | Mechi ya Kirafiki 9/12/2021

Timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20 #TheTanzanite imekula mweleka siku ya uhuru kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa mabinti wa Uganda katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hili hapa goli la Khadija Nandonga





Popular Tags

#Sergio Aguero  #Best Ball Controls  #Best Football Defending Skills  #Ronaldinho  #Los Angeles Lakers  #Luis Suarez  #Mesut Ozil  #Best Football Defending Skills  #Football Defensive Skills  #Kyrie Irving  

Popular Users

#BBCBreaking  #kevinlove  #SteveNash  #rogerfederer  #KimKardashian  #dougferguson405  #imVkohli  #MileyCyrus  #StephenCurry30  #espn  #RobbieSavage8  #cesc4official  #TimTebow  #DwyaneWade  #instagram