Content removal request!


Goli la Uganda | Tanzania W-U20 vs Uganda W-U2O (0-1) | Mechi ya Kirafiki 9/12/2021

Timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20 #TheTanzanite imekula mweleka siku ya uhuru kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa mabinti wa Uganda katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hili hapa goli la Khadija Nandonga