GHARIB MZINGA: "YANGA NDIO KIKOSI BORA ZAIDI KOMBE LA SHIRIKISHO/WAMECHEZA VIZURI/WAMEJIFUNZA"
GHARIB MZINGA: "YANGA NDIO KIKOSI BORA ZAIDI KOMBE LA SHIRIKISHO/WAMECHEZA VIZURI/WAMEJIFUNZA"

USM Alger walishinda kwenye Dimba la Benjamin Mkapa na Yanga wameenda kushinda Kwenye Dimba la July 5, kila mmoja ameshindwa kwenye Ardhi ya Ugenini lakini Kombe limeenda kwa USM Alger. Hii ni tathmini ya Gharib Mzinga 'KILWA FINEST' Kuhusu Mchezo wa Pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mzinga ameeleza kuhusu mipango ya Timu za Algeria kuhakikisha wanakuza vipaji na kufikia Nchi ya ahadi yenye Mafanikio ya Kisoka. Aidha ameeleza kuwa USM Alger hawajabadilika bali Yanga ndio walibadilika.

PENALTY SAVE KUTOKA KWA DJIGUI DIARRA USM ALGER 0-1 YANGA SC FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
PENALTY SAVE KUTOKA KWA DJIGUI DIARRA USM ALGER 0-1 YANGA SC FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii : ▻JOIN OUR ...

PENALTY ILIYOSABABISHWA NA IBRAHIM BACCA USM ALGER 0-1 YANGA SC FAINAL KOMBE LA SHIRIKISHO

GOLI LA KUONGOZA KWA YANGA SC LILILOFUNGWA NA DJUMA SHABAN USM ALGER 0-1 YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO

LIVE: UCHAMBUZI KUELEKEA FAINALI YA CAF CC, YANGA NA USMA - 03/06/2023
LIVE: UCHAMBUZI KUELEKEA FAINALI YA CAF CC, YANGA NA USMA - 03/06/2023

Leo ndiyo leo, Yanga wanashuka dimbani kumalizana na USM Alger katika mchezo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Best Goalkeeper Saves  #Goalkeeper Saves  #Shaquille O'Neal  #Luis Suarez  #Paul George  #Chris Paul  #Franck Ribery  #Gareth Bale  #Michael Jordan  

Popular Users

#Buster_ESPN  #Joey7Barton  #JasonDufner  #darrenrovell  #BizNasty2point0  #nyt4thdownbot  #NASA  #BrunoMars  #incarceratedbob  #KevinHart4real  #KingJames  #itsBayleyWWE  #jimmyfallon  #billbarnwell