VIDEO Iliyowabamba SIMBA Wakimwaga Dawa HATARI!! Katika hali ya kushangaza Global TV ilimnasa baba huyu aliyevaa jezi ya Simba SC ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja saa chache kabla ya mechi ya Simba na Al Ahly kuanza, akimwaga maji yenye asili ya dawa za kienyeji ambayo yalikuwa na harufu kali. SIMBA imefanikiwa kuwafunga waarabu kwa goli 1-0 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mechi ya marudiano Ligi ya mabingwa Barani Afrika. #SIMBAVsALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
SIMBA Walivyomkuna SHETTA - "Yanga Wajipange la Sivyo Wataumia" Mastaa mbalimbali wamefika katika uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange kati ya Simba SC na Waarabu wa Al Ahly ambapo dakika tisini za mchezo huo ziliamua Simba amchape Mwarabu bao 1 -0. Akizungumza na waandishi baada ya mechi kumalizika na wekundu wa msimbazi kuibuka mabingwa Mwanamuziki Sheta, amewataka wachezaji wa Yanga kukaa kitaalamu ili waweze kuikabili Simba watakapokutana Februari 16 mwaka huu. Shetta amesema Wachezaji wa Simba wamecheza kiufundi sana na ndio maana wakafanikiwa kumchapa Mwarabu huku bao hilo likiwa ni la kurudisha matumaini kwa mashabiki wa Simba baada ya kupokea kichapo cha 5- 0 kutoka kwa waarabu hao hao walipokutana mara ya kwanza nchini Misri. #SIMBAVSALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA AL AHLY AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPIGWA NA SIMBA SC Mtanange wa marudio kati ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC na Waarabu Al AHLY umemalizika kwa Simba kuwachapa waarabu 1-0. Bao la Simba limewekwa kimiani na Mshambuliaji wake Meddie Kagere dakika ya 64. Baada ya mchezo huo Makocha wa timu zote mbili Simba na Al Ahly wakazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na jinsi mchezo ulivyokuwa. #SIMBAVsALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
GOLI LA MEDDIE KAGERE, SIMBA SC 1 - AL AHLY #SimbaVsAlAhly #SimbaLeo #SimbaLeo #SimbaSc #Simba #CAFCL #SSC #NguvuMoja
Walichokifanya Al Ahly Kabla ya Kuivaa SIMBA/HAWATOKI!! KIKOSI cha Waarabu wa Al Ahly kimewasili uwanja wa Taifa jijini Dar tayari kwa ajili ya kuwavaa wekundu wa msimbazi Simba SC katika mchezo wa ligi ya mabingwa. Ikumbukwe kuwa Al Ahly iliwachapa Simba mabao 5- 0 katika mchezo wao wa mara ya kwanza uliochezwa nchini Misri. #SIMBAVSALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
WALICHOKIFANYA Simba Kabla ya Mechi Dhidi ya Al Ahly KIKOSI cha Simba kimewasili uwanja wa Taifa jijini Dar tayari kwa ajili ya kuwavaa waarabu wa Al Ahly katika mchezo wa ligi ya mabingwa. Ikumbukwe kuwa Simba walipokea kichapo cha mabao 5- 0 kutoka kwa Al Ahly katika mchezo wao wa mara ya kwanza uliochezwa nchini Misri. #SIMBAVSALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
DALALI Afunguka Kabla ya Mechi SIMBA VS AL AHLY MWENYEKITI wa zamani klabu ya Simba Hassan Dalali amesema kuwa wale wote ambao wamekuja kuishuhudia Simba kwa matumaini ya kufungwa waje kuujaza uwanja halafu waone kipigo chake. Dalali amewatakia watanzania na mashabiki wa Simba kutulia uwanjani na kuisapoti timu pale itakapocheza. #SIMBAVsALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
SIMBA vs AL ALHY: Shangwe la Mashabiki wa Simba Uwanjani NI patashika nguo kuchanika leo katika uwanja wa taifa jijini Dar ambapo Mtanange kati ya Simba SC na Waarabu Al Ahly unachezwa tena kwa mara ya pili. Ikumbukwe kwamba mtanange huu umeshawahi kuchezwa nchini Misri na Simba wakapokea kichapo cha 5-0. MASHABIKI wa Simba wameendelea kujipa moyo wa kupata matokeo mazuri ya mechi yao ya pili dhidi ya Al Ahly baada ya mechi ya kwanza kufungwa magoli 5-0. #SIMBAVSALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho