Content removal request!


SIMBA Walivyomkuna SHETTA - "Yanga Wajipange la Sivyo Wataumia"

SIMBA Walivyomkuna SHETTA - "Yanga Wajipange la Sivyo Wataumia" Mastaa mbalimbali wamefika katika uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange kati ya Simba SC na Waarabu wa Al Ahly ambapo dakika tisini za mchezo huo ziliamua Simba amchape Mwarabu bao 1 -0. Akizungumza na waandishi baada ya mechi kumalizika na wekundu wa msimbazi kuibuka mabingwa Mwanamuziki Sheta, amewataka wachezaji wa Yanga kukaa kitaalamu ili waweze kuikabili Simba watakapokutana Februari 16 mwaka huu. Shetta amesema Wachezaji wa Simba wamecheza kiufundi sana na ndio maana wakafanikiwa kumchapa Mwarabu huku bao hilo likiwa ni la kurudisha matumaini kwa mashabiki wa Simba baada ya kupokea kichapo cha 5- 0 kutoka kwa waarabu hao hao walipokutana mara ya kwanza nchini Misri. #SIMBAVSALAHLY https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho