YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano. Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanzaβ¦.. Haya hapa magoli yote sitaβ¦
https://www.youtube.com/@Wasafi_Media?sub_confirmation=1 WATCH WASAFI TVπΊ AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM π» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI π» | 104.1 DODOMA π» | 94.5 ARUSHA π» | 97.3 MBEYA π» | 94.9 MWANZA π» | SHINYANGA 106.3 π» | KIGOMA 101.7 π» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ πͺππππππππ Β©2021 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Tazama ushujaa wa golikipa wa Simba SC, Ally Salim akidaka penati tatu. Adaka penati ya Khalid Aucho, Pacome na Yao. Diarra adaka penati ya Saidi Ntibazonkiza
Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : https://www.facebook.com/Mbiu-ya-SautiKuu-1743739459176507/?ref=your_pages. Instagram : https://www.instagram.com/mbiuyasautikuutv/ YouTube : http://www.youtube.com/MbiuyaSautiKuuTv/