Joanna Wietrzyk från Australien vann nyligen en Hyrox Pro-tävling i Peking. Där hon pressade sig så pass att hon bajsade på sig. Nu ber hon om ursäkt. #Hyrox #träning #sport
#Petershalulile #JeanGirumugisha #Azizki #Yangasc #Tetesizausajilimpya Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 🇸🇿 Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati 🇿🇦 BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) ⚽ Mechi: 26 🥅 Magoli: 2 🎯 Asisti: 5 ⏱️ Dakika alizocheza: 1,858 🌍 FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) 🇸🇿 Mechi: 9 ⚽ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC 🇹🇿 ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini 🇿🇦 kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro . 4.Azizi Ki amerejea tena Yanga Kwa mkataba wa Miaka 2 kutoka Al Ittihad ya libya 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo cosmas ya south Africa na aliwahi kufanya majaribio Dubai ni kinda aliyetikisa Zaidi na Serengeti Boys,msimu huu Kafunga goli 1 pekee dhidi ya Fountain Gate 9. Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 10. Morice Chukwu kiungo na mlinzi wa kati Kutokea Singida BS Tetesi wanaohusishwa kusajiliwa 1. Jean Girumugisha WINGA fundi na hatari Zaidi Barani Africa MVP wa Ligi ya Rwanda msimu uliopita alihusishwa kutambulishwa na mabwanyenye wa Libya Al Ahly Tripol lakini inaonekana Yanga wamemnasa ngoja tusubiri muda utafika inaelezwa hii itakuwa surprise package ya Yanga pale uhuru stadium kwenye Yanga Day 9.8.2026 2. Alphonce Mabula mtanzania anayekipiga huko Bahrain Azerbaijan 3. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Chadrack Boka 5. Bakari Mwamnyeto Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.🇲🇱 Djigui Diarra 2.🇨🇮 Yao Kouassi 3.🇨🇩 Chadrack Boka 4.🇰🇪 Duke Abuya 5.🇨🇩 Maxi Nzengeli 6.🇦🇴 Laurindo Depu 7.🇺🇬 Allan Okello 8.🇨🇮 Pacome Zouzoua
Simba SC imenyakua Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuichapa Azam FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Dimba la Gombani Pemba. Goli pekee la ubingwa limefungwa Yahya Zayd ambaye amejifunga dakika ya 62.
BIÑAN Tatak Gel vs. Batangas Rhum Masters MPBL 2025 Game 1 Semi-Finals South Division Full 4th Quarter (November 6, ...
KARIAKOO DEEBY | Fahamu ukweli kuhusu matukio yote yaliyozua utata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba uliopigwa Septemba 16, 2025. Moja kati ya matukio yaliyozua gumzo ni goli pekee walilofunga Yanga na kuamua mshindi wa Ngao ya Jamii 2025. Osman Kazi na jopo lake wanamaliza utata kwa kutumia sheria na kanuni za soka
Shocking Duel! China vs. the United States, Who Is the Real Stronger?#kungfu#Peking Opera #fight.