Kocha Simba: Tumechukua Pointi 3 KMC, Nkana Wajipange Jumapili
Kocha Simba: Tumechukua Pointi 3 KMC, Nkana Wajipange Jumapili

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameonyesha bado wapo vizuri katika kulilinda taji lao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji, Patrick J. Aussems, inafikisha pointi 30 katika mechi ya 13, sasa ikizidiwa pointi 14 na vinara, Yanga SC waliocheza mechi 16 wanaofuatiwa na Azam FC, zote za Dar es Salaam wenye pointi 40 za mechi 16 . Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



SIMBA WAVURUGANA NA NKANA TAREHE YA MCHEZO
SIMBA WAVURUGANA NA NKANA TAREHE YA MCHEZO

Mashabiki wa soka nchini hawana uhakika na Tarehe ya mechi ya klabu bingwa Africa kati ya simba na Nkana Fc ya Zambia kutokana na taarifa kutoka timu hizo mbili kukinzana. kupitia video hii msemaji wa Simba Haji Manara Anasema Mechi hiyo itachezwa jumapili ya December 23, wakati Nkana Fc wao mapema usiku wa kuamkia leo walipowasiri hapa Nchini Waliandika Kupitia Ukurasa wao wa Instagram kuwa wanatarajia kucheza na Simba Jumamosi ya December 22-2018.



Alichokisema MANARA kuhusu Mechi ya Nkana Jumapili
Alichokisema MANARA kuhusu Mechi ya Nkana Jumapili

Alichokisema MANARA kuhusu Mechi ya Nkana Jumapili Ofisa habari wa simba Haji Manara amesema mchezo wa jumapili dhidi ya nkana hautakua rahisi hivyo wanahitaji kupambana kwa hali na mali ili kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo ya vilabu bingwa Afrika. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGwmmtrWI



MAGAZETI: SIMBA na MTIBWA Ni Kipigo tu, Nkana FC na KCCA Magoli yakutosha
MAGAZETI: SIMBA na MTIBWA Ni Kipigo tu, Nkana FC na KCCA Magoli yakutosha

MAGAZETI: SIMBA na MTIBWA Ni Kipigo tu, Nkana FC na KCCA Magoli yakutosha. #Simbasc #Nkanafc #KCCA #Mtibwasugar No Copyright issue. CHANNEL LINKS for royality free musics are:- Somewhere in Nature by Simon More https://soundcloud.com/user-73416670 Creative Commons - Attribution 3.0 Unported - CC BY 3.0 http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Music promoted by Audio library https://youtu.be/Juena1vPUhQ




« Previous Next »


Popular Tags

#Football Defensive Skills  #Goalkeeper Saves  #Zlatan Ibrahimovi  #LeBron James  #Best Goals  #Derrick Rose  #Franck Ribery  #Kyrie Irving  #Goalkeeper Saves  #Shot Goals  

Popular Users

#b_ryan9  #MichelleDBeadle  #rihanna  #ArianFoster  #BringerOfRain20  #serenawilliams  #LilTunechi  #cnnbrk  #DanicaPatrick  #tigerwoods  #dougferguson405  #floydmayweather  #JLo  #ArianaGrande