Mashabiki wa soka nchini hawana uhakika na Tarehe ya mechi ya klabu bingwa Africa kati ya simba na Nkana Fc ya Zambia kutokana na taarifa kutoka timu hizo mbili kukinzana. kupitia video hii msemaji wa Simba Haji Manara Anasema Mechi hiyo itachezwa jumapili ya December 23, wakati Nkana Fc wao mapema usiku wa kuamkia leo walipowasiri hapa Nchini Waliandika Kupitia Ukurasa wao wa Instagram kuwa wanatarajia kucheza na Simba Jumamosi ya December 22-2018.