Simba SC vs Coastal Union ni mchezo wa fainali kwa Mnyama, kwasababu wanasaka kombe lengine la 'Mfungaji bora' baada ya kupata kombe la 'Kuifunga Yanga SC' msimu huu. Hivi vitu vina maana kwa mashabiki lakini ni baada ya kukosa makombe yote. Nani kuwa Topscorer Ligi Kuu NBC TZ?
SAIDO NTIBAZONKIZA VS FISTON MAYELE....Nani kuwa mfungaji bora wa msimu 2022-2023? Mechi za leo... Simba SC vs Coastal Union (Uhuru Stadium) Tanzania Prisons vs Yanga SC (Sokoine Stadium). Mayele - 16 (Goli) Saido - 15 (Goli).
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #ahmedally #mosesphiri
🔥 Fainali za Mchuano wa NBA zimewekwa na tuna mechi kadhaa za kuvutia. 🏀 Fainali za Mchuano wa Magharibi ✅ Los Angeles Lakers v Denver Nuggets 🏀 Fainali za Mchuano wa Mashariki ✅ Boston Celtics v Miami Heat 🤔 Unadhani nani atafanikiwa kutinga Fainali za NBA mwaka huu?