GWAMBINA 1-2 MWADUI: Timu ya Mwadui FC ambayo iko mikiani, imeilaza Gwambina FC mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Gwambina Complex, Misungwi Mwanza. Gwambina ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Meshack Abraham kabla ya Mwadui kusawazisha kwa goli la Roshwa Rashid na kuongeza la pili lililofungwa na Mohamed Kassim. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz