YANGA watoa tamko zito baada ya kiungo Mshambuliaji wakimataifa Saido Ntibazonkiza kusajiliwa KCCA
YANGA watoa tamko zito baada ya kiungo Mshambuliaji wakimataifa Saido Ntibazonkiza kusajiliwa KCCA

YANGA watoa tamko zito baada ya kiungo Mshambuliaji wakimataifa Saido Ntibazonkiza kusajiliwa KCCA Breaking:Yanga yarudisha mmoja mmoja katika benchi la ufundi kwa walio fukuzwa mapya yaibuka Tazama Tamko zito Refa kukataa goli la Mugalu Manara amjibu shabiki wa YANGA "wadigo wamepasua tundu lenu" Siri ya fichuka kinacho isumbua YANGA mganga wa MANARA afunguka siri zote "dawa iko kwenye uchi wa" YANGA watoa tamko zito baada ya kumfukuza KAZE Wanao fatia ni wachezaji hawa kutemwa sababu hizi hap Usajili:Baada ya kikao kizito cha Yanga huyu ndo kocha mpya na CV zake zote hizi hapa "mda wamakombe Uongozi wa YANGA na Mdhamini(GSM) hapa kaliki MANARA awaandikia ujumbe mzito huwezi amini kisa Kaze Baada ya matokeo ya Polisi Tanzania vs Yanga 1-1 Manara aibua mapya huwezi amini,Offside| kocha mpya MSIMAMO waligi kuu ya Vodacom Tanzania baada ya michezo yote mitatu ya leo! Msimu 2020/21 March 7 Mambo (10) yaliyo onekana katika mchezo wa Polisi Tanzania vs Yanga 1-1|mapya yaibuka Nb:1-0 clear Polisi Tanzania vs Yanga Sc 1-1:Magoli yote, Red card ya Yondani| Highlights full time 🔴LIVE:POLISI TANZANIA VS YANGA SC VODACOM PRIMIER LEAGUE FULL KIKOSI YANGA Kikosi cha kwanza cha YANGA SC dhidi ya Polisi Tanzania,,kaze apanga kikosi cha mauaji Point 3 Muhim Coastal union vs Yanga 2-1 VPL:Magoli yote leo,Penalty aliyo kosa Kisinda|Highlights full time LIVE:COASTAL UNION VS YANGA SC VODACOM PRIMIER LEAGUE TO DAY Kikosi cha leo cha YANGA SC dhidi ya Coastal union VPL nibalaa zito tazama Yanga vs Kagera sugar 3-3 full time:magoli yote, VPL kosa kosa na Penalt tazama hii Yanga vs Kagera sugar 2-3 :magoli yote first half,VODACOM primier league now LIVE:YANGA SC VS KAGERA SUGAR VODACOM PRIMIER LEAGUE FULL KIKOSI YANGA LEO Kikosi cha kwanza cha YANGA cha mauaji leo wanaanza na Kagera Sugar hiki hapa VPL tazama Tofauti iliyo kati ya YANGA SC na Simba hii hapa mchambuzi aweka wazi kila kitu huwezi amini alicho Mambo yazidi kuwa magum makubwa yaibuka,TFF bodi ya ligi wapewa tahadhari! Yanga watajwa na MANARA Wanachama na mashabiki wa YANGA wamlilia kocha KAZE na benchi la ufundi,wamtaja Fiston waibua mpya Kocha wa yanga Afunguka mazito Refaree alivyo waliza!YANGA watoa tamko "kuhujumiwa" Mashabiki wanena Baada ya YANGA kubanwa na Mbeya city 1-1 MANARA Afunguka "mmepoteza usingizi mkisubir Gastadialo"uto Mambo (10) yaliyo jitokeza nakuonekana katika mchezo Mbeya city vs Yanga leo VPL,Refa alicho fanya Mbeya city vs Yanga 1-1 Magoli yote:utata wa Penalt na goli la Yanga VPL leo LIVE:MBEYA CITY VS YANGA SC VODACOM PRIMIER LEAGUE FULL KIKOSI YANGA LEO Kikosi cha kwanza cha YANGA SC kinacho shuka uwanjani kuimaliza Mbeya City leo,,Tazama je unamaoni? YANGA watua mbeya kibabe kuimaliza Mbeya city VPL,Watangaza kikosi cha kwanza namfumo mpya,Saido out Kikosi kazi Mfumo mpya YANGA waja na Double strike FISTON,SAIDO ni kucheka na nyavu tu:KAZE atangaza Mshambuliaji mpya YANGA azua balaa mazoezini, wenzake washangaa apewa jezi No7 kama CR7 speed zake VIDEO:Shabiki wa YANGA Akili 5000 azungumzia kombe la Simba (Simba Super Cup)aibua mapya,amtishia Zu VIDEO:Shabiki kindaki ndaki wa YANGA Akili 5000 ampa onyo live CEO wa Simba kisa SENZO tazama Video:YANGA walivo mpokea Mshambuliaji wakimataifa Fiston Abdoul Razack mtoboa nyavu kifalme jionee Mshambuliaji YANGA FISTON Afunguka mda huu "hawawezi nizuia kuondoka" WALLACE KARIA apitishwa FIFA YANGA watoa tamko zito! kwa MANARA misumari anayo endelea kupigilia maendeleo yao,wafichua mbinu zak Afisa habari YANGA HBumbuli Afunguka mazito "hii mipango yetu nisiri hatuiweki wazi "baada ya kikosi "Nime wachunguza yanga siku 30" Mshambuliaji wakimataifa kutoka Zimbabwe CHIKWENDE Afunguka mazito #YangaSc #VPL #SimbaSc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #MichaelJackson #Rayvanny #DiamondPlatnumz #Harmonize #TanzaLiveTv #MiddleSimba #CloudsMedia #Ebitoke #Tanasha #EATV #ITV #TBC #SwahiliFlix #ManenoYaKuambiwa #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam



Tazama Simba ilivyopgishwa 'gwaride' na Tanzania Prisons (1-1) | Highlights - VPL 10/03/2021
Tazama Simba ilivyopgishwa 'gwaride' na Tanzania Prisons (1-1) | Highlights - VPL 10/03/2021

SIMBA vs PRISONS: Luis Miquissone ameinusuru Simba na kichapo cha Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi Tanzania Bara kwa bao ya kusawazisha la dakika ya 90+5, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya Salum Kimenya kuitanguliza Prisons dakika ya 56. Katika mchezo huo Simba walikosa penati iliyopigwa na Chris Mugalu na kupanguliwa na Jeremiah Kisubi lakini pia wakapata pigo kwa beki wao Jumanne Elifadhili kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Haya hapa magoli, kadi nyekundu na mkwaju wa penati Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Simba 1-1 Tanzania Prisons | Magoli, penati na kadi nyekundu | VPL 10/03/2021
Simba 1-1 Tanzania Prisons | Magoli, penati na kadi nyekundu | VPL 10/03/2021

Luis Miquissone ameinusuru Simba na kichapo cha Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi Tanzania Bara kwa bao ya kusawazisha la dakika ya 90+5, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya Salum Kimenya kuitanguliza Prisons dakika ya 56. Katika mchezo huo Simba walikosa penati iliyopigwa na Chris Mugalu na kupanguliwa na Jeremiah Kisubi lakini pia wakapata pigo kwa beki wao Jumanne Elifadhili kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Haya hapa magoli, kadi nyekundu na mkwaju wa penati. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



MCHEZAJI ALIYEMUUMIZA AISHI MANULA AFUNGUKA MAZITO, TAZAMA ALICHOKISEMA
MCHEZAJI ALIYEMUUMIZA AISHI MANULA AFUNGUKA MAZITO, TAZAMA ALICHOKISEMA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIPA wa Simba, Aishi Manula amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Manula alidondoka chini baada ya kuruka pamoja na mchezaji wa JKT Tanzania, kisha Erasto Nyoni alikimbia haraka kumuona na akawaita madaktari. Hata hivyo baada ya madaktari kumpa huduma ya kwanza Manula alionekana hali yake mbaya wachezaji wenzake wakaonyesha ishara ya kumfanyia mabadiliko. Badae akapakwizwa kwenye gari la wagonjwa na kupelekwa hospitalini. Beno Kakolanya akaingia kuchukua nafasi yake ili kumalizia dakika zilizobakia. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



SHABIKI WA SIMBA AMLILIA MUGALU NA MIQUISONE / NITAWABEBA HADI MSIMBAZI KUTOKA AIRPORT
SHABIKI WA SIMBA AMLILIA MUGALU NA MIQUISONE / NITAWABEBA HADI MSIMBAZI KUTOKA AIRPORT

TAZAMA MWANZO MWISHO SHABIKI WA SIMBA ALIVYO MLILIA CRIS MUGALU NA LUIS MIQUISONE AHAIDI KUWABEBA KUTOKA AIRPORT HADI MSIMBAZI



WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA  ALIKAMWE
WAZIRI MKUU AIFAGILIA SIMBA BUNGENI KUIFUNGA AS VITA, AMTAJA ALIKAMWE

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR Congo. Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita kwa mkwaju wa penalti uliowekwa wavuni na Chris Mugalu dakika ya 60 na kuipa uhakika wa alama tatu timu yake. Majaliwa ameyasema hayo wakati akiahirisha vikao vya Bunge jijini Dodoma na wabunge wakilipuka kwa furaha kushangilia. "Nawapongeza pia mabingwa wa soka Tanzania timu ya Simba SC kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi na jana kushinda mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya AS Vita nchini DR Congo," amesema Majaliwa Waziri Mkuu pia amempongeza Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kwa ubunifu wake wa kushirikisha Wizara ya Utalii na kuja na wazo la kuweka maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye jezi za Simba ambazo zinazotumika katika hatua ya makundi kutokana na kanuni za CAF kutoruhusu kampuni za kubeti kutumika kwenye jezi za klabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars




« Previous Next »


Popular Tags

#Allen Iverson  #Franck Ribery  #Best Goals Ever  #Thomas Muller  #Anthony Davis  #Russell Westbrook  #Los Angeles Lakers  #Best Goalkeeper Saves  #Best Football Defending Skills  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#WWE  #BadgerMBB  #KimKardashian  #imVkohli  #billbarnwell  #StephenCurry30  #jimmyfallon  #itsBayleyWWE  #Harry_Styles  #iamsrk  #BaileyLAKings  #BMcCarthy32