SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
SHABIKI WA SIMBA AMEONESHA KUVUTIWA NA KIWANGO CHA CHRIS MUGALU NA KUAMUA KUMMWAGIA MISIFA KIBAO TAZAMA HAPA FULL INTERVIEW #SIMBA #IHEFU #CHRISMUGALU #KAGERE
Simba imeipa Ihefu Sc kichapo cha mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Magoli ya Simba yamefungwa na Mohamed Hussein, Medie Kagere aliyefunga mawili na Chris Mugalu. Huu ni uchambuzi baada ya mechi huo ukiwa na Ally Kamwe, Dominick Salamba na Patrick Nyembera. Pia unaweza kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mabingwa watetezi, Simba SC wameibugiza Majimaji FC mabao 5-0 katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Wafungaji wa magoli hayo ni Gadiel Michael, Ibrahim Ame, Chris Mugalu, Medie Kagere na Luis Miquissone. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wamesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Maji Maji ya Songea usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC katika mchezo wa leo yamefungwa na beki mzawa Gardiel Michael dakika ya tatu, mshambuliaji Mkongo Chris Mugalu dakika ya sita, beki Mzanzibari Ibrahim Ame dakika ya 60, mshambuliaji Mrwanda Meddie Kagere dakika ya 78 na kiungo kutoka Msumbiji, Luis Miquissone dakika ya 90. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars