SIMBA YAIFUMUA MAJI MAJI 5-0 | Walivyotua Uwanja wa Mkapa
SIMBA YAIFUMUA MAJI MAJI 5-0 | Walivyotua Uwanja wa Mkapa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wamesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Maji Maji ya Songea usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC katika mchezo wa leo yamefungwa na beki mzawa Gardiel Michael dakika ya tatu, mshambuliaji Mkongo Chris Mugalu dakika ya sita, beki Mzanzibari Ibrahim Ame dakika ya 60, mshambuliaji Mrwanda Meddie Kagere dakika ya 78 na kiungo kutoka Msumbiji, Luis Miquissone dakika ya 90. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Simba yaunguruma Dodoma, yaipiga 4-0 JKT Tanzania; Tazama highlights - VPL 04/10/2020
Simba yaunguruma Dodoma, yaipiga 4-0 JKT Tanzania; Tazama highlights - VPL 04/10/2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC, wameishushia kipigo cha mabao 4-0 timu ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Medie Kagere amefunga magoli mawili huku mengine yakifungwa na Chris Mugalu na Luis Miquissone. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



HT: All Goals SIMBA SC vs JKT Tanzania || Kagere + Chris Mugalu + Luis Miquisson
HT: All Goals SIMBA SC vs JKT Tanzania || Kagere + Chris Mugalu + Luis Miquisson

HT: Magoli Yote SIMBA SC 3-0 JKT Tanzania Kagere + Chris Mugalu + Luis Miquison



Highlights: Simba SC 3-0 Gwambina FC - VPL 26/09/2020
Highlights: Simba SC 3-0 Gwambina FC - VPL 26/09/2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, wamepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Benjamini Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Mmedie Kagere, Chris Mugalu na Pascal Wawa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



18.03.2015::DIVISION 1-PLAY OFFS-J5::FC LUPOPO-TP MAZEMBE::1-2
18.03.2015::DIVISION 1-PLAY OFFS-J5::FC LUPOPO-TP MAZEMBE::1-2

18 Mars 2015 / March 18th, 2015 Stade Fréderic Kibassa Maliba Linafoot 2014-2015 / Division I - Play-offs 5e Journée / Day 5 Football Club Saint Eloi Lupopo 1-2 Tout Puissant Mazembe - 29e Roger Claver ASSALE (Mbwana Aly SAMATTA) - 63e Crispin MUGALU - 78e Jonathan BOLINGI (Coup-franc Joël KIMWAKI)




« Previous


Popular Tags

#Lionel Messi  #Kobe Bryant  #Kawhi Leonard  #Cleveland Cavaliers  #James Harden  #New York Knicks  #Miami Heat  #Best Football Defending Skills  #Best Football Defending Skills  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#si_vault  #themichaelowen  #elonmusk  #BrunoMars  #imVkohli  #strombone1  #DeAndre  #DjokerNole  #DanicaPatrick  #LAKings  #itsBayleyWWE  #jimmyfallon  #obj