Content removal request!


LIVE: SIMBA 4-0 IHEFU | UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 30/12/2020

Simba imeipa Ihefu Sc kichapo cha mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Magoli ya Simba yamefungwa na Mohamed Hussein, Medie Kagere aliyefunga mawili na Chris Mugalu. Huu ni uchambuzi baada ya mechi huo ukiwa na Ally Kamwe, Dominick Salamba na Patrick Nyembera. Pia unaweza kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz