JOHN BOCCO Aomba MSAMAHA Kwa MASHABIKI wa SIMBA Baada ya KICHAPO Cha RUVU SHOOTING..
JOHN BOCCO Aomba MSAMAHA Kwa MASHABIKI wa SIMBA Baada ya KICHAPO Cha RUVU SHOOTING..

JOHN BOCCO Aomba MSAMAHA Kwa MASHABIKI wa SIMBA Baada ya KICHAPO Cha RUVU SHOOTING.. NAHODHA wa klabu ya Simba, John Bocco, amewaomba radhi mashabiki wa klabu yao kutokana na kupoteza mechi mbili mfululizo katika ligi kuu msimu huu... Simba msimu huu imefungwa na Tanzania Prisons pamoja na Ruvu Shooting... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



John Bocco Aomba Msamaha Kwa Mashabiki SIMBA Kufungwa Ligi Kuu
John Bocco Aomba Msamaha Kwa Mashabiki SIMBA Kufungwa Ligi Kuu

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAADA ya kuchezeshwa pira gwaride ndani ya dakika 180 kwa msimu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara na kuyeyusha pointi sita ilizokuwa inasaka Klabu ya Simba imeomba msamaha kwa mashabiki wao kutokana na kupitia mapito hayo magumu. Simba ambao ni mabingwa watetezi walianza kupoteza mchezo wa kwanza Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela na walipoteza pia mchezo wa pili Oktoba 26 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Uhuru. Nahodha wa Simba, John Bocco amesema kuwa kutokana na matokeo hayo ambayo wameyapata kwenye michezo miwili mfululizo wanahitaji msamaha kwa kuwa waliteleza na kuahidi kurejea kwenye ubora katika mechi zao zijazo. "Kwa niaba ya wachezaji tunaomba mtusamehe kwa matokeo tuliyoyapata ya michezo miwili iliyopita tuliteleza na tumeshateleza hatupaswi kuteleza tena. "Ahadi yetu kwetu kurekebisha makosa yetu na kurudi kwenye sura ya upambanaji mpya kwa michezo tu ijayo," amesema. Simba ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 13, imecheza mechi saba na kupoteza jumla ya pointi nane kwa kuwa imelazimisha sare moja na kushinda mechi mbili. Kinara ni Azam FC mwenye pointi 21 baada ya kucheza mechi nane ameshinda saba na kupoteza mechi moja anafuatiwa na Yanga nafasi ya tatu, pointi 19 amecheza mechi saba na ameshinda sita huku akiwa amelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Kocha Simba afichua kilichompa ushindi wa 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Dilunga awaomba msamaha
Kocha Simba afichua kilichompa ushindi wa 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Dilunga awaomba msamaha

Kocha wa Simba Sven Vandenbroeck anasema kujituma kwa wachezaji wake ndiyo siri ya ushindi wa leo huku akikiri kuwa uamuzi wake wa kuwaanzisha kwa pamoja John Bocco na Meddie Kagere umechangia kuwavuruga wapinzani wake. Tazama mahojiano ya makocha wote wawili pamoja na wachezaji Hassan Dilunga na Henry Joseph Shindika baada ya mchezo. FT : Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC. Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous


Popular Tags

#Tristan Thompson  #Cristiano Ronaldo  #Kobe Bryant  #Chris Paul  #Franck Ribery  #Los Angeles Lakers  #Miami Heat  #Russell Westbrook  #Mesut Ozil  #Amazing Solo Goals  

Popular Users

#AdamSchefter  #KylieJenner  #MikePereira  #CP3  #THNRyanKennedy  #espn  #wizkhalifa  #instagram  #Joey7Barton  #neymarjr  #Buccigross  #J_No24  #BeingSalmanKhan  #Kaepernick7  #BBCBreaking