KUTOKA MISRI | โโฆ.hakuna kiumbe yeyote anayeweza kujiita Eliiiii zaidi ya Simba SCโ Kikosi cha Simba SC kikiwa kambini nchini Misri, jioni ya leo kimepiga tizi lililomuhusisha pia kiungo wao Elie Mpanzu ambaye ameripoti kambini hapo leoโฆ Katika tizi hizo hilo, meneja wa kikosi hicho, Patrick Rweyemamu amefafanua machache kuhusu utata uliokuwepo juu ya mchezaji huyo, akisema โโฆni propagandaโฆni Gen-z ambao wameingia kwenye mfumo wa kisasa wa mpiraโ Rweyemamu amesema klabu hiyo haiwezi kufanya makosa ya kumsajili mchezaji wa aina hiyo kwa mkataba wa miezi sita na kusisitiza kuwa โโฆElie Mpanzu yupo, na ataendelea kuwepo hadi Simba itakavyoamua vinginevyo
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA
Shirikisho la mpira Tanzania(TFF) na bodi Ligi kuu imemaliza utata wa nani MVP wa ligi kuu 2024-25. #simbasc #yangasc #pacome #ahoua
โhapa katikati kulikuwa na misemo maarufu hawana uzoefu hawaujui mpira, mpira unaware wakeโ Makamu wa Rais wa klabu ya Yanga @arafat__ah Mahojiano haya tumekuwekea katika YouTube channel yetu ya Almas Digital
Welcome to TV3 โ East Africaโs Home of Sports, Entertainment & Lifestyle! โฝ๐ฅ๐ ๐ก Watch TV3 SPORTS on: AzamTV: Channel 416 StarTimes: DTH-197 | DTT-131 ๐ Based in Dar es Salaam, Tanzania ๐ Broadcasting in ๐น๐ฟ ๐ฒ๐ผ ๐บ๐ฌ ๐ฟ๐ฒ ๐ท๐ผ ๐ง๐ฎ ๐ฐ๐ช ๐ธ๐ด ๐จ๐ฉ In this video: ๐ฅ Full match coverage, highlights, press conferences, interviews, fan reactions & more. We cover: - NBC Premier League - Championship League Tanzania - Simba SC, Yanga SC, Azam FC - UEFA Champions League, EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga - Gossip, lifestyle, and Swahili sports commentary ๐ Subscribe for daily sports content & updates! ๐ฒ Visit: www.tv3.co.tz ๐ท Follow us: @TV3TANZANIA | Powered by @QuantumInfinity.hq #TV3Sports #SimbaSC #YangaSC #TanzaniaSports #NBCPremierLeague #FootballAfrica #LiveSportsTanzania #SportsEntertainment #MichezoTanzania